Ushauri wa kununua TV

muhala.jr

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
728
600
Habari wakuu naomb tusaidiane ku share experience actually nimeona tv katika mtandao wa JuMia online marketing. Aina ya eevol nchi 43 Ina future nyingi Sana nzuri na very affordable price.sasa naomb kujua ubora wa tv hizi Mana natak niuze TCL ninunue hio.
 
Hiyo TCL inamapungufu gani?
 
Wakati unataka kununua tv zingatia specification zifuatazo.

1. Resolution isiwe chini ya 1900x1080

2. Refresh rate 120Hz ikishindikana 60Hz.

4. HDMI ports ziwe angalau hata tatu

5. Screen LCD technology nzuri ni ile inayotumia IPS LCD kama lg
32LB550A-TA

Lakini tv chache zinatumia, kama una hela nunua tu OLED TV ila gharama hii.

search hiyo ya tv unayotaka kununua na uangalie specs zake.
 
Habari wakuu naomb tusaidiane ku share experience actually nimeona tv katika mtandao wa JuMia online marketing. Aina ya eevol nchi 43 Ina future nyingi Sana nzuri na very affordable price.sasa naomb kujua ubora wa tv hizi Mana natak niuze TCL ninunue hio.
Achana na brand za vichochoroni, kwanini usi upgrade na hio hio TCL 43"
 
Msikilize huyu
Wakati unataka kununua tv zingatia specification zifuatazo.

1. Resolution isiwe chini ya 1900x1080

2. Refresh rate 120Hz ikishindikana 60Hz.

4. HDMI ports ziwe angalau hata tatu

5. Screen LCD technology nzuri ni ile inayotumia IPS LCD kama lg
32LB550A-TA

Lakini tv chache zinatumia, kama una hela nunua tu OLED TV ila gharama hii.

search hiyo ya tv unayotaka kununua na uangalie specs zake.
 
Habari wakuu naomb tusaidiane ku share experience actually nimeona tv katika mtandao wa JuMia online marketing. Aina ya eevol nchi 43 Ina future nyingi Sana nzuri na very affordable price.sasa naomb kujua ubora wa tv hizi Mana natak niuze TCL ninunue hio.
njoo nikuuzie evvoli 43 inch kwa 630 tu boss
duka lipo kariakoo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom