Ushauri wa kozi za kusoma zenye market hapa bongo

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
1.Marketing Management

2.Business Management

3.Human resource mngmnt

4.International Business Management

5.Procurement n supplies management

tuwe serious vijana wenzangu,JE NI IPI KATI YA HIZO INA MARKET HAPA BONGO?NA MUCH PAYABLE?
 
kuna ka kozi kamoja hivi very marketable: Kuhamisha US$ kutoka Tz kwenda Colombia, nimesahau jina la kozi hii kwa english....
 
heshma yako mwanajf...
kwa koz ukizoorodhesha hapo sina uhakika sana bt am sure kama ulichukulia masomo ya sayansi nenda kasome degrii ya upharmacia very marketable..even kushinda udocta
udocta bongo utashindia njaa hauna soko wale kidogo
 
Hapo zote chaka,nakushauri kasomee masuala ya kilimo na ufugaji wa nyuki ndio yatakayokufaa!
 
Mwanangu Mussa Abdallah, kwanini usifanye utafiti wako mwenyewe ukajua unachofanya badala ya kutegemea ushauri toka jamvini? Nadhani trade ya mtu ni suala binafsi sana. Unaweza kuambiwa lolote na ukalilfanyia kazi seriously na mwishowe ukajikuta pakanga ukaanza kulaumu. Kwani gumu ni lipi; kufanya utafiti badala ya kuhangaika au kufumba macho na kusikiliza kila ushauri? Bahati mbaya sana hili ni suala la kitaaluma na kimazingira mno. Kwa mfano walioko nje ya Tz hawataweza kukusaidia mawazo kwa vile mazingira yamebadilika tangu watoke huko.
 
Procurement and supplies, ndio iko juu na inaendelea kuwa juu. We unadeal na kuwapa tenda ma-supplier, halafu jioni mnakutana sehemu wanakukatia 10% yako.
 
1.Marketing Management

2.Business Management

3.Human resource mngmnt

4.International Business Management

5.Procurement n supplies management

tuwe serious vijana wenzangu,JE NI IPI KATI YA HIZO INA MARKET HAPA BONGO?NA MUCH PAYABLE?

I noticed you wrote Marketing Management. I would suggest just marketing whether in management or not. It's incredibly marketable and mostly filled by Kenyans right now. Mimi ni Communications and Marketing professional. Niliamua kufungua mahali pangu mwenyewe na kuachana na kuajiriwa lakini sasa hivi ninavyoandika nina offers 4 hapa Dar na moja Arusha ya Communications, Marketing na ingine ni head of corporate affairs ambayo obviously ina include marketing, communications and PR. Sisemi hivi kwa kuringa ila kwa kukuonyesha jinsi ambavyo kuna huge gap kwenye hii market. When I say Communications I don't mean Mass Communications but Communications in its entirety. There is only a handful of Tanzanian professionals and they all know each other, and even fewer with over 5 years experience. And now more than ever there are many incredible jobs in this arena. If you have the confidence and yearning I would urge you to try it out. Ila most importantly kwenye hii English haiwezi kuwa ya kubabaisha sababu unaenda kuwa spokesperson. GOOD LUCK!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom