Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,024
Habari zenu waheshimiwa....Wakuu naombeni ushauri wenu!!ipi ni njia nzuri ya kuweka akiba ya pesa?kuweka katika sehemu tofauti tofauti,mfano unaweka benki,kwny mifuko ya hifadhi ya jamii,saccos na sehemu nyingine au kuweka sehemu moja tu mfano benki?Nitashukuru kwa ushauri wako!