Ushauri wa kitaalamu samsung A32 au Redmi Note 10

Haipo,ipo tu google ya kawaida.
Then ukiiona izime
Screenshot_20210416-185659.jpg
 
Jaribu ku disable Ambient display (Always on display) setting zake unazipata kwenye Google now settings.
Mkuu nisaidie hili!
Mimi simu yangu ikipigiwa haidsplay ili nione nani anapiga mpaka nibonyeze batani ya Power off/on, vilevile hata pale ninapo piga simu lazima itoke kwenza display halafu hunipasa kubofya batani ya power of /on tena.
 
Proximity sensor imezibwa mkuu ama ina matatizo, Mara nyingi husababishwa na protector kuiziba. Anza na kutoa screen protector safisha pale mbele juu uone kama itasaidia.
 
Samsung don't care anymore a series hazina ubora zilzo kuwa nazo
Wameshiba mapato kutoka kwa makampuni mengne xiaomi oneplus apple google(pixel 6)
 
Laki saba duka gani hapo dar
Vipi realme 8 pro ukilinganisha na redmi note 10 pro
Ni equivalent mkuu
-Lte band zote zimetick kwetu, na Lte A ipo
-size realme ni more compact
-display Note 10 pro nzuri zaidi
-perfomance kama sawA
-camera inaonekana kama sensor ni moja, note 10 ina macro resolution kubwa na Realme ina Stabilization ya software
-hata ukaaji chaji ni sawa.

Sema zote hizi mbili kwa muono wangu sio relevant kwenye midrange mwaka huu.

1. Nunua A52 kama unataka all around Midrange nayo ina sd 720G kama hio realme 8 pro na perfomance pia ni sawa redmi note 10, hakuna haja ya kununua mchina wakati hakupi advantage yoyote, kwa samsung utapata
-software upgrade miaka 3
-water proof phone
-camera yenye optical stabilization
-display nzuri zaidi etc.

2. Nunua Poco X3 pro kama unataka simu yenye perfomance, kwa mchina xiaomi wameua na hii simu, ina snapdragon 860 (high-end processor) ina nguvu kushinda galaxy Note 10 na inazipita zote Redmi note 10 pro, A52 na hio realme 8 pro, hali ya kuwa bei ni ile ile Around $250
 
Asante sana Chief
Nipo kalenga huku
 
Mkuu nje ya mada kidogo kati ya galaxy note 10+ na iPhone xs max ipi itakuwa vizur kwa matumizi ya miaka miwili au mitatu mbele na updates zitakuwaje
 
Angalia mwenyewe unataka Android ama ios,
-Samsung imetoka 2019 na wameahidi miaka 3 ya software upgrade na miaka 4 ya security patches, hii note 10 inakuja na android 9, imeshapata 10 na 11, kuna update ya mwisho Android 12 pengine mwakani mwanzoni na mpaka 2023 utapata security updates.

-Xs max imetoka 2018 nayo ina miaka 5 ya software updates hivyo itagota nayo around hio hio 2023 ama kama itazidi 2024.

Kwa muono wangu hakuna utofauti sana. Angalia mwenyewe operating system unayopenda.
 
Nashukuru mkuu kwa maelezo mazuri
 
Back
Top Bottom