Ushauri wa kisiasa/Mwenyewe bila amani ya moyo/ CCM na udiwani/ CHADEMA na amani ya moyo.

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,240
9,527
Natamaani mwakani niwe diwani kupitia CHADEMA ila aliyepo ni wa CHADEMA na hana mpango wa kutoka.

Natamaani nibaki peke yangu ila sitakuwa na amani ya kutosha maana huu ndio muda wangu kuchangia akili na nguvu zangu kwa taifa langu.

Nafasi CCM ziko bure, situmii fedha zangu, nitalindwa na kuhakikishiwa ushindi!

Wadau mnishauri vizuri naomba. Nisijekuwa Slaa Mwingine, au Lowasa mwingine. Moyo wangu uko CHADEMA
 
Ndiyo maana ya kura za maoni kamanda, chukua form wanachama wataona uwezo wako watakupitisha kwenda kwa wananchi.
Upo na situation kama yangu lakini ya kupitia CCM haipo kabisa,naichukia mnoo CCM.
 
Back
Top Bottom