The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,247
Wakuu, heshima kwenu!
Nimekuwa kwenye mahusiano na wasichana tofauti kwa vipindi tofauti kwa muda sasa na hatimaye nikaamua kutulia na mmoja baada ya kujitambua vema na kuamua kuishi maisha hasa yanayompendeza Mungu.
Katika mahusiano yangu yaliyopita, wapo waliostahili kuachwa,wapo walioonewa na wapo walioamua kuniacha wenyewe na kuamua kuolewa.
Sasa tatizo linakuja hapa mwanzoni mwa mwaka huu niliingia katika mahusiano na dada mmoja ambaye binafsi nampenda sana hilo naomba nikiri kabisa kwa maelezo yake, aliwahi kunambia ashawahi kuwa na mpenzi (ambaye alikuwa wa kwanza kwake ie aliyembikiri) na anakiri alimpenda sana lakini bahati mbaya jamaa ake huyo alimuacha bila sababu za kueleweka akabaki singo mpaka nilipomtongoza mimi ndo akaingia tena kwenye mahusiano mapya,kwa hilo naweza kumuamini kutokana na ushahidi wa kimazingira.
Sasa tatizo linakuja hapa,ule uwezo wangu wa kujiamini kwake umepungua sana ukilinganisha na mpenzi wangu aliyepita kwa sababu mpenzi wangu aliyepita alinipenda sana(yeye) sio mimi na nilifikia hatua ya kuachana nae kwa kuheshimu hisia za moyo wangu tu ..sikuwahi kumpenda nay eye alinipenda sana .sasa nahisi mzimu wa dada yule unaniandama sana .
Pili,nahisi msichana huyu niliye nae sasa hanipendi kama nilivyopendwa awali na labda siku moja labda anaweza kuja kurudi kwa mpenzi wake wa zamani aliyemuacha kwa sababu tu kunai le dhana ya kwamba msichana humpenda mwanaume aliyemtoa bikira muda wote na hata kama atakuwa kaolewa na mwanaume mwigine kurudi kule ni possible(sina uhakika na hili,ni stori tu za mtaani wadada nisaidieni hapa ukweli wa hili)
Anaonesha ananipenda(sitaki kuusemea moyo wake ) na anaonesha kuridhika kabisa na mapenzi anayoyapata kwagu .
Sasa basi,nifanyeje ili nimuamini dada huyu katika aspects zote kama nilivyoelezea hapo juu?
2.Ni kweli mwanamke anawezakupenda tena mara ya pili (kama/zaidi ya hata alivyowahi kupenda katika mahusiano yake ya kwanza hasa kwa mwanaume aliyemtoa bikira?)-hapa ningependa kuambiwa na wahusika wenyewe
3.nifanyeje basi ili nimuamini dada huyu kwa kiwango kikubwa ili kuyaimarisha mapenzi yetu ili nisonge mbele sasa? Sipendi kuishi tena maisha niliyowahi kuishi awali na ninamshukuru mungu mpaka sasa nipo safi, naomba sana wanajamvi ushauri wenu uwe wa kujenga mahusiano haya na sio kunirudisha nyuma tena kule nilikotoka .[/FONT]
Nawasilisha kwa ushauri wakuu!
the Magnificient!
Nov,2012