Ushauri wa Kipuuzi kwenu Wapinzani: Mpeni Kamba Magufuli ajinyonge mwenyewe

Unadhani nitakubishia kwa hili? Hapana.

Hili ndilo ninaloomba wapinzani wawaelimishe wananchi.

Watu pekee wanaoweza kukataa mipango hiyo ya 'uteuzi' wa mtu badala ya kura zao ni wananchi pekee. Wengi wa hawa wakikataa, hata huyo mwenye 'mabunduki' yake hatathubutu kuchezea kura zao.

Tatizo kubwa ni 'Wapinzani' na watu wengine wasiokubali mpango huo wa mtu mmoja kuharibu kura za watu wengi, watawezaje kuwafikishia elimu hiyo wananchi?

Sasa hivi mtu huyo anafanya hivyo kwa kujua watu (wapiga kura) hawazijali kura zao.
Wanakwenda kupiga kura, lakini hawataki kujua kama kura zao kweli ndio zinazowapatia viongozi wanaowataka wao.
Hapo ndipo penye tatizo. Na ndipo mchango wa kila mtu, hata hapa JF unapotakiwa. Jinsi ya kuliondoa tatizo hili.
Mkuu kalamu 1 unaju maana ya kura za maruhani?.Waulize Wazanzibari
 
Kwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.

1. Mwaka 2020 utakuwa mwaka mbaya sana kwa wapinzani kweli kweli. Achana na wale vibaraka.

Asilimia kubwa hawatarudi hata list yao ipo na wengine kwa kugundua hili waliamua kuhamia CCM ili waweze pata riziki yao ya kila siku.

Tumeona maeneo ambayo Mh. Ametembelea pasipo unafiki akibagua walio chagua upinzani na waliochagua CCM.amesema kama una torch ukachanganya batteries na gunzi itawaka? Haiwaki.kaongea ukweli.

Kwa point hii tu wapinzani wanapitaje? Umeona maeneo ambayo amekuta wamechagua wapinzani alivyokuwa akiwajibu?lakini yeye si ndo analipa watendaji,wakurugenzi,anachagua wanahusika na uchaguzi?

WITO WANGU.
Mwaka 2020 mwachieni yeye agombee na wabunge wake. Kawaida dhambi ya Ubaguzi kama mtu anayo haitakosekana.atagundua wote ni CCM.na kuna maeneo mengi hatakuwa ametimiza ahadi.atatafuta namna ya kuwabagua.

Itafahamika kuna CCM Mag na CCM Asili. Hapo wapinzani kaeni pembeni muwe mnachochea tu moto.maana atakuja sema sehemu mmemchagua CCM mbunge lakini hafai.

Kawaida ya Ubaguzi upo kama pia. Yaani unaanzia juu kukubwa unashuka chini kudogo.level ya juu iliyopo sasa hivi ni CCM vs Upinzani. Ukiondoa Upinzani itakuwepo CCM yenyewe kwa yenyewe. Na hapo watu watakulana kwa misingi flani flani. So CCM yenyewe haitobaki salama.

Ushauri wangu wa kipuuzi kaeni chini mfikiri namna gani ya kujipanga kisayansi zaidi. Kuna kipindi semeni "sisi yetu macho tu"

"Siku watu wakigundua Adui yao Halisi ni nani Ukombozi utapatikana"
Lipumba lazima atagombea tuu
 
Hapana, mtu kama wewe huwez kuwa kundi nitakalokuwemo mimi kwa sababu ambazo nimekwisha zitaja. Wewe ni adui wa haki za waTanzania. Unaunga mkono watanzania kunyanyaswa.

Ww sio mpiga kura bali ni mchambuzi wa mambo ya siasa ndio maana hujui uhalisia wa kwenye box la kura. Mimi na wengine tunaojitambua hatutakuwa na muda wa kupiga kura ambazo tunajua fika atakayetangazwa ni mtu wa ccm ili kumfurahisha rais, na hata akiwa wa upinzani usishangae akihongwa kwenda kuunga juhudi. Kibaya kuliko vyote ni wapinzani kutokwenda mahakamani kufungua mashitaka dhidi ya huo mwenendo wa wizi wa kura.

Kwakuwa ww sio mpiga kura bali mchambuzi wa siasa, haya niliyosema huyajali. Kwa bahati mbaya hili suala la kutokupiga kura sio kwamba tunasaka ushauri wenu nyie wachambuzi wa siasa, bali tumeshachukua maamuzi, tunachokifanya hapa ni kuhakikisha wapiga kura wanazidi kuwa wachache, ili kudhibitisha kuwa box la kura linabakwa kwa maelekezo ya rais ili kukibeba chama chake.
 
Wapinzani wengi hawawezi elewa hili sababu nao wanaangalia maslahi.namna ya kupata pesa wakati wa kampeni.ingawa wanajua hawatashinda. Wangewaachia CCM kila kitu. Then ndo ingefahamika kumbe hata CCM pia si moja mle ndani. Lakini pia ndo kila mtu angeonesha rangi halisi. Kwa sasa wanaonekana wana CCM sababu kuna upinzani.
Unayo hoja ya msingi maana kama hakuna upinzani uovu wa CCM hautaonekana na jumuia ya kimataifa itajua kuwa upinzani umeboycok uchaguzi na lazima kuwe na tatizo kwenye electoral system.

Kwa upande mwingine kuboykot uchaguzi kwa sababu zozote zile ni kuacha siasa na kufunika Kombe. Uovu wa CCM lazima uonekane kwa jinsi ulivyo na hilo litawezekana sana kama vyama vya upinzani vitashiriki uchaguzi!
 
Vyama vitashiriki uchaguzi ili vipate nini? Maana ushindi havitopata hilo halina ubishi.

Leo unaenda kucheza mechi fainali team yako na pinzani. Unaenda cheza uwanja wa team pinzani, refa amechaguliwa na kocha au mmiliki wa team.
Mpira unatoka team pinzani,wasaidizi wa refa team pinzani. Kamati ya mchezo/makamisaa wameteuliwa na mmiliki wa team pinzani,ndani ya team yenu kuna wachezaji wanapewa posho au salary na team pinzani.watazamaji wenu wanafungiwa nje ya geti la uwanja. Kipindi chote cha maandalizi mlinyiwa uwanja wa kufanyia mazoezi. Wenzenu wana viatu vya mpira nyie mpo peku peku. Mnategemea ushind gani hapo?

Unayo hoja ya msingi maana kama hakuna upinzani uovu wa CCM hautaonekana na jumuia ya kimataifa itajua kuwa upinzani umeboycok uchaguzi na lazima kuwe na tatizo kwenye electoral system.

Kwa upande mwingine kuboykot uchaguzi kwa sababu zozote zile ni kuacha siasa na kufunika Kombe. Uovu wa CCM lazima uonekane kwa jinsi ulivyo na hilo litawezekana sana kama vyama vya upinzani vitashiriki uchaguzi!
 
Umechoka kuishi mpaka unaomba ufe mkuu
Hahaha tatizo upitia comment kwa owoga utafkri unataka kunyongwa aisee nimesema mimi ndo nataka kufa au upinzani na ninan aliekwambia CCM au Chadema ikifa na watu wake wanakufa. Just think beyond the human ability
 
Ww sio mpiga kura bali ni mchambuzi wa mambo ya siasa ndio maana hujui uhalisia wa kwenye box la kura. Mimi na wengine tunaojitambua hatutakuwa na muda wa kupiga kura ambazo tunajua fika atakayetangazwa ni mtu wa ccm ili kumfurahisha rais, na hata akiwa wa upinzani usishangae akihongwa kwenda kuunga juhudi. Kibaya kuliko vyote ni wapinzani kutokwenda mahakamani kufungua mashitaka dhidi ya huo mwenendo wa wizi wa kura.

Kwakuwa ww sio mpiga kura bali mchambuzi wa siasa, haya niliyosema huyajali. Kwa bahati mbaya hili suala la kutokupiga kura sio kwamba tunasaka ushauri wenu nyie wachambuzi wa siasa, bali tumeshachukua maamuzi, tunachokifanya hapa ni kuhakikisha wapiga kura wanazidi kuwa wachache, ili kudhibitisha kuwa box la kura linabakwa kwa maelekezo ya rais ili kukibeba chama chake.
Inaonekana una akili ngumu kuelewa au hutaki tu kwa maksudi kuelewa ninachoeleza mimi.
Nimekuandikia mara kadhaa kwamba ninaelewa vizuri sana hiyo habari ya uonevu wa kura za watu kutofanya kazi kama inavyotakiwa, lakini bado unaling'ang'ania hilo hilo kama hakuna kingine chochote unachoweza kukielewa.

Hilo la Wapinzani kutokwenda mahakamani sijui kinachowazuia, lakini inawezekana pia ni kwa sababu kwamba hata huko hawatapata haki yao, jambo ambalo halina tofauti na ushabiki unaousisitiza hapa wa kutokwenda kupiga kura. Ni bora wangeenda mahakamani, hata kama ni kwa ushahidi/kuweka kumbukumbu tu kwamba hata huko hawapewi haki zao. Wao, badala ya kufanya hivyo, wanafanya kitu unachokisisitizia hapa, kutoshiriki. Sasa kutokwenda mahakamani kwao kunawasaidia kitu gani, kama ilivyo kwa wewe kutokwenda kupiga kura kabisa! Nyote mnamfaidisha CCM na viongozi wao.

Kama wewe ni mpiga kura unayesusia kupiga kura ukidhani unamkomesha mtu ni kujipotosha na kuwadanganya wenzako.
Kutopiga kura kwako kama hakumzuii Magufuli kufanya anavyotaka kunakuongezea kitu gani.

Mimi nasisitiza, kama una kura yako na hutaki kumpa mtu wa CCM, nenda kapige kura. Hiyo kura hata kama haitampa ushindi wa haki mtu unayemtaka, na huna uwezo wa kuifanya ihesabike, nafsi yako itakuwa haikusuti kila mara utakapokuwa unakutana na mambo usiyoyataka ambayo huyo ambaye hukumchagua atakuwa akiyafanya.

Shiriki, wakikunyima haki yako na huwezi kuipigania hiyo haki acha dhamira zao ziwasute wakijua wazi kwamba hawatendi kwa mamlaka waliyoyapata kupitia kwa wananchi.

Hili kwa uchache ndilo unalopaswa kulifanya, kupiga kura. Kama hutaki kushiriki katika kuhakikisha kuwa kura hiyo inahesabika, acha watakaojitoa kufanya hivyo wafanye. Usiwe sehemu ya kuwakatisha tamaa.
 
Nasisitiza, kwenda kupiga kura kwa sasa. Ni kukosa kazi kwa kushiriki tendo lisilo na tija. Uzuri ni kuwa watu waliopuuza hilo zoezi ni wengi na wengine tunazidi kuwaamsha kupitia mada hizi. Ww hakuna anayekuzuia maana ni haki yako, tena jitahidi uende na familia yako siku ya kura mlale vituoni ili kudhibiti dhuluma za kura. Acha ccm watawale milele kuliko kupata vilema, kisha viongozi wanaopatikana kwa kujitoa muhanga wahamie ccm.
 
Kwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.

1. Mwaka 2020 utakuwa mwaka mbaya sana kwa wapinzani kweli kweli. Achana na wale vibaraka.

Asilimia kubwa hawatarudi hata list yao ipo na wengine kwa kugundua hili waliamua kuhamia CCM ili waweze pata riziki yao ya kila siku.

Tumeona maeneo ambayo Mh. Ametembelea pasipo unafiki akibagua walio chagua upinzani na waliochagua CCM.amesema kama una torch ukachanganya batteries na gunzi itawaka? Haiwaki.kaongea ukweli.

Kwa point hii tu wapinzani wanapitaje? Umeona maeneo ambayo amekuta wamechagua wapinzani alivyokuwa akiwajibu?lakini yeye si ndo analipa watendaji,wakurugenzi,anachagua wanahusika na uchaguzi?

WITO WANGU.
Mwaka 2020 mwachieni yeye agombee na wabunge wake. Kawaida dhambi ya Ubaguzi kama mtu anayo haitakosekana.atagundua wote ni CCM.na kuna maeneo mengi hatakuwa ametimiza ahadi.atatafuta namna ya kuwabagua.

Itafahamika kuna CCM Mag na CCM Asili. Hapo wapinzani kaeni pembeni muwe mnachochea tu moto.maana atakuja sema sehemu mmemchagua CCM mbunge lakini hafai.

Kawaida ya Ubaguzi upo kama pia. Yaani unaanzia juu kukubwa unashuka chini kudogo.level ya juu iliyopo sasa hivi ni CCM vs Upinzani. Ukiondoa Upinzani itakuwepo CCM yenyewe kwa yenyewe. Na hapo watu watakulana kwa misingi flani flani. So CCM yenyewe haitobaki salama.

Ushauri wangu wa kipuuzi kaeni chini mfikiri namna gani ya kujipanga kisayansi zaidi. Kuna kipindi semeni "sisi yetu macho tu"

"Siku watu wakigundua Adui yao Halisi ni nani Ukombozi utapatikana"
Nchi kashaachiwa mwenyewe

Wakati Kapilimba alivyokuja kumwambia ukweli kuhusu kuachiwa nchi hakuelewa maana yake

Subiri uchaguzi wa serikali za mitaa
Atapiga kura yeye na kina bashite wake
 
Uzuri ni kuwa watu waliopuuza hilo zoezi ni wengi na wengine tunazidi kuwaamsha kupitia mada hizi.
Uliwasiliana nao na kuwahesabu idadi yao lini kama sio kujonyesha jinsi usivyokuwa na umakini na unachokiandika hapa!
Acha ccm watawale milele kuliko kupata vilema, kisha viongozi wanaopatikana kwa kujitoa muhanga wahamie ccm.
Hata wakati wa kutafuta uhuru wetu toka kwa wakoloni watu kama wewe walikuwepo wengi tu, lakini hawakuzuia uhuru kupatikana.
Na tukishaondokana na adha hii ya kunyanyaswa, nyinyi ndio mtakaokuwa mstari wa mbele na kudai juhudi zenu ndio zilizofanikisha kuutokomeza udharimu wanaofanyiwa waTanzania na kujifanya kusahau kwamba mlikuwa mstari wa mbele mkishirikiana na hao hao waliokuwa wanapora haki zetu.

Sikiliza, tusizungushane humu bure..
Kama hata huwezi kufikiria njia mbadala ya hiyo ya kususia na kuzira maana yake ni moja tu kwamba wewe uko upande wa hao tunaowapinga. Weka mapendekezo mbadala hapa wa kusaidia kura za wananchi zisipotee watu wayajadili. Hilo la kutokwenda kupiga kura ni kuwapa CCM chee ya kujisifu na ushindi hewa. Ukweli ni kwamba hawataacha kuzihesabu kura za wananchi zilizowakataa hata kama watatumia mabavu kuzikataa.
 
Uliwasiliana nao na kuwahesabu idadi yao lini kama sio kujonyesha jinsi usivyokuwa na umakini na unachokiandika hapa!

Hata wakati wa kutafuta uhuru wetu toka kwa wakoloni watu kama wewe walikuwepo wengi tu, lakini hawakuzuia uhuru kupatikana.
Na tukishaondokana na adha hii ya kunyanyaswa, nyinyi ndio mtakaokuwa mstari wa mbele na kudai juhudi zenu ndio zilizofanikisha kuutokomeza udharimu wanaofanyiwa waTanzania na kujifanya kusahau kwamba mlikuwa mstari wa mbele mkishirikiana na hao hao waliokuwa wanapora haki zetu.

Tusiandkie mate tusubiri kesho kutwa wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, kisha utoe mrejesho wa idadi ya wapiga kura watakaojitokeza kupiga kura. Na ukiweza kabla ya kwenda huko mbali, pitia kwenye vituo vya kujiandikisha wapiga kura upate picha ya ninachokuambia. Sikukatishi tamaa tamaa bali nakuambia ukweli, kwenda kupiga kura kama ni mpinzani ni kupoteza wakati. Wanaccm wao wanaweza kwenda maana wao ni wafaidika kwa hiyo hujuma.

Tanzania hatukupigania uhuru sisi tulienda kuomba uhuru tukapewa maana hatukuwa koloni la Uingereza, bali tulikabidhiwa kwa Uingereza mpaka tutakapokuwa tayari kujitawala. Hivyo asikudanganye mtu kwamba kulikuwa na struggle ya maana kwenye kupata uhuru wetu. Labda kama ni mapambano ilikuwa ni wakati wa mjerumani basi.
 
Haijalishi. Kuna waliokuwa hawataki Mwingereza atoke. Ndiyo haya tunayoyaona sasa.
 
Uchaguzi ujao kuna watu wengi sana watauawa.
Kwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.

1. Mwaka 2020 utakuwa mwaka mbaya sana kwa wapinzani kweli kweli. Achana na wale vibaraka.

Asilimia kubwa hawatarudi hata list yao ipo na wengine kwa kugundua hili waliamua kuhamia CCM ili waweze pata riziki yao ya kila siku.

Tumeona maeneo ambayo Mh. Ametembelea pasipo unafiki akibagua walio chagua upinzani na waliochagua CCM.amesema kama una torch ukachanganya batteries na gunzi itawaka? Haiwaki.kaongea ukweli.

Kwa point hii tu wapinzani wanapitaje? Umeona maeneo ambayo amekuta wamechagua wapinzani alivyokuwa akiwajibu?lakini yeye si ndo analipa watendaji,wakurugenzi,anachagua wanahusika na uchaguzi?

WITO WANGU.
Mwaka 2020 mwachieni yeye agombee na wabunge wake. Kawaida dhambi ya Ubaguzi kama mtu anayo haitakosekana.atagundua wote ni CCM.na kuna maeneo mengi hatakuwa ametimiza ahadi.atatafuta namna ya kuwabagua.

Itafahamika kuna CCM Mag na CCM Asili. Hapo wapinzani kaeni pembeni muwe mnachochea tu moto.maana atakuja sema sehemu mmemchagua CCM mbunge lakini hafai.

Kawaida ya Ubaguzi upo kama pia. Yaani unaanzia juu kukubwa unashuka chini kudogo.level ya juu iliyopo sasa hivi ni CCM vs Upinzani. Ukiondoa Upinzani itakuwepo CCM yenyewe kwa yenyewe. Na hapo watu watakulana kwa misingi flani flani. So CCM yenyewe haitobaki salama.

Ushauri wangu wa kipuuzi kaeni chini mfikiri namna gani ya kujipanga kisayansi zaidi. Kuna kipindi semeni "sisi yetu macho tu"

"Siku watu wakigundua Adui yao Halisi ni nani Ukombozi utapatikana"
 
Haijalishi. Kuna waliokuwa hawataki Mwingereza atoke. Ndiyo haya tunayoyaona sasa.

Sijakuzuia popote kuwatoa ccm ndio maana nimekuambia nenda na familia yako mkawatoe. Mimi nawaambia wanaojitambua wasipoteze muda wao kwenda kupanga mstari kwenye box la kura, labda itumike njia tofauti na hiyo ya box la kura. Kama wewe bado unaamini kuwatoa ccm kwa njia ya box la kura basi kazana kushawishi watu waende, mimi nimechagua kuwaambia kuwa box la kura ni kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom