ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 326
Habari wadau,
Ninatarajia kupata 20m na nahitaji inizalishie minimum 10m ndani ya mwaka mmoja kupitia kilimo.
Je, nilime au nijihusishe na nini ili nifikie lengo langu kupitia kilimo au ufugaji?
Shamba ninalo Kigamboni Mwasonga zaidi ya ekari 10.
Nisingependa ushauri wa kulima tikiti sababu nishajihusisha na zao hilo. Hio ni kama kamali. Ufugaji sijawahi kufanya lakini najua hakuna lishindikanalo.
Natanguliza shukran.