Ushauri wa kihistoria utaleta ahueni sana ukifanyiwa kazi!!!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,903
2,884
Ni wazi kua serikali imekusudia kufutilia mbali shughuli zote za kisiasa kwa sasa mpaka hapo itakapotaka yenyewe na kuelekeza nguvu zake zote ktk kuhamasisha wananchi kufanya kazi za maendeleo.

Ni kwa mantiki hiyo mm nawashauri wapinzani waitishe harambee za kuchangisha madawati au ujenzi wa vyumba vya madarasa nchi nzima kisha watumie hizo harambee kama jukwaa la kusema chochote watakacho. na hapo kutakua na faida mbili kuunga mkono juhudi za wananchi kuleta maendeleo na kuishtaki serikali kwa wananchi.

Kwa hali ilivyo sasa hakuna namna wataweza kufikia adhma yao wasipofuata ushauri wangu.
 
Back
Top Bottom