Zneba
Senior Member
- May 12, 2010
- 192
- 7
Habari ya wakti huu wapendwa wa jf,jamani ushauri unahitajika kwa rafiki yangu huyu inshu ni very serious kwa hiyo wale watu waliotajwa na maty kuwa wanakera ni bora wasichangie.
Nina rafiki yangu saaana wa kiume jana alikuja kwangu na kunieleza habari hii ambayo nilishindwa hata nimshauri nini nikaona nilete hapa tusaidiane,Kijana huyu ana girlfriend wake ambaye wana muda wa miaka miwili tangu waanze uhusiano huo,ila kabla ya huyu ambaye yupo nae,alishawahi kukutana na binti mmoja hivi ambae alimpenda mno tu kwa maelezo yake na akawa amemtangazia nia ya kutaka kumuoa ila bint akawa amekataa kwa kumwambia kuwa hawataweza kuoana kwa ajili ya dini zao ni tofauti bint ni muslim jamaa ni christian basi jamaa alibembeleza lakin bint akasisitiza kuwa bado hawataweza kuuowana. jamaa akawa amekata tamaa ya kumpata.ndipo alipoanzisha uhusiano na huyo bint wa kwanza hapo ambae wapo nae kwa miaka miwili.tatizo alilonalo sasa ni kwamba jamaa bado anampenda yule bint wa kiislam mno tu na anahisi ndiyo mwanamke pekee ambae anaweza kuwa mtu wa maisha yake.na bint nae bado anasisitiza hawezi kubadili dini anaogopa sana wazazi wake,na jamaa anahisi mapenzi kwa girlfriend wake yamepungua kabisa coz hisia zote zipo kwa mdada wa kiislam.sasa anasema hajui hata nini afanye anayempenda kuna kikwazo aliyenae hampendi kihivyo kwahiyohata suala la kumuoa ni haiwezekani na kuanza kutafuta mdada mwingine anasema ndo kazi hasaaa mana wadada nao sasa hivi ni usanii mtupu.afanyaje?umri nao umesogea kwa kiasi flan basi ni amechanganyikiwa kbs.