ushauri wa haraka jamani unahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushauri wa haraka jamani unahitajika

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Zneba, Nov 16, 2010.

 1. Zneba

  Zneba Senior Member

  #1
  Nov 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari ya wakti huu wapendwa wa jf,jamani ushauri unahitajika kwa rafiki yangu huyu inshu ni very serious kwa hiyo wale watu waliotajwa na maty kuwa wanakera ni bora wasichangie.
  Nina rafiki yangu saaana wa kiume jana alikuja kwangu na kunieleza habari hii ambayo nilishindwa hata nimshauri nini nikaona nilete hapa tusaidiane,Kijana huyu ana girlfriend wake ambaye wana muda wa miaka miwili tangu waanze uhusiano huo,ila kabla ya huyu ambaye yupo nae,alishawahi kukutana na binti mmoja hivi ambae alimpenda mno tu kwa maelezo yake na akawa amemtangazia nia ya kutaka kumuoa ila bint akawa amekataa kwa kumwambia kuwa hawataweza kuoana kwa ajili ya dini zao ni tofauti bint ni muslim jamaa ni christian basi jamaa alibembeleza lakin bint akasisitiza kuwa bado hawataweza kuuowana. jamaa akawa amekata tamaa ya kumpata.ndipo alipoanzisha uhusiano na huyo bint wa kwanza hapo ambae wapo nae kwa miaka miwili.tatizo alilonalo sasa ni kwamba jamaa bado anampenda yule bint wa kiislam mno tu na anahisi ndiyo mwanamke pekee ambae anaweza kuwa mtu wa maisha yake.na bint nae bado anasisitiza hawezi kubadili dini anaogopa sana wazazi wake,na jamaa anahisi mapenzi kwa girlfriend wake yamepungua kabisa coz hisia zote zipo kwa mdada wa kiislam.sasa anasema hajui hata nini afanye anayempenda kuna kikwazo aliyenae hampendi kihivyo kwahiyohata suala la kumuoa ni haiwezekani na kuanza kutafuta mdada mwingine anasema ndo kazi hasaaa mana wadada nao sasa hivi ni usanii mtupu.afanyaje?umri nao umesogea kwa kiasi flan basi ni amechanganyikiwa kbs.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Nov 16, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Waende bomani kila mtu abaki na dini yake si inaruhusiwa au?
   
 3. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh hii story inaonekana kuwa ya ukweli, sasa cha kufanya kikubwa kabisa amuelze huyo GF wake wa sasa kuwa hatoweza kumuoa, asimpe hii sababu ya ukweli ila ahakikishe amefikisha ujumbe maana asiangalie upande wake tu nadhani maumivu ya mapenzi ni makubwa sana na ikibidi amuache awe free ili huyo rafikiyo apate muda wa kushuhulika na haja ya moyo wake (huyo bi dada wa kiislamu) ajaribu kuwa na muda kumconvice aonyeshe nia ya ndoa na ikibidi yeye awe muislam.
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  boman is ther 4em.
   
 5. RR

  RR JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Kuna wengine wanatumia njia ya kujazana mimba...hii inawashinikiza wazazi wakubali ndoa katika form yoyote....ila at your own risk...
   
 6. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  huo ni ushamba , wazazi wanausikaje na ndoa yao ? akae nae waongee kama kweli huyo demu anampenda jamaa atafanya kila namna waoane .
   
 7. Zneba

  Zneba Senior Member

  #7
  Nov 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 8. F

  Ferds JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mwasu karibu tena leo umekuja na kali na ya kusisimua zaidi ya ile ya mwanzo big up mamaa,
  Kwa mtazamo wangu huyu binti wa kiislamu hampendi huyu jamaa, maana anasema anaogopa wazazi hata hiyo ya bomani haitowezekana kwani kisingizio kitakuwa hichohicho cha wazazi hawataki, nilichojifunza katika maisha ni kuwa wasichana ni vigumu kutongoza na pia wagumu kusema ckutaki au ckupendi, atakufanyia vituko mpaka uondoke mwenyewe sasa nadhani hili ndilo linalomtokea jamaa yako, dunia ya leo mapenzi ni maisha vizingiti vya dini ukabila rangi vimebaki kwa zile familia zisizo na uelekeo, kama huyo kaka anaweza kuanza kuhamisha mapenzi aupe moyo wake nafac kwa huyu mwingine ikiwa tu huyu dada wa pili anampenda huyo jamaa na jamaa kweli analiona hilo basi ampe nafac, refer post yangu iliyopita when a wrong one loves you right;- USIPOPATA ULIPOPENDA PENDA ULIPOPATA, hiyo ndiyo formula nzuri ya kikwepa stress ktk mahusiano. Mungu hutupeleka ananpopataka yeye na c tupatakapo cc, mwambie asali na amkumbuke sana Mungu ktk hili.
   
 9. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Nipe umri wao kwanza!
   
 10. Zneba

  Zneba Senior Member

  #10
  Nov 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata jamaa amemshauri waende bomani pia ila bint anadai atatengwa coz kwenye uislam hawaitambui ndoa ya boman na wazazi walishamtisha kuwa akijaribu kufunga ndoa ya kanisani au bomani basi asiwatambue,bint nae kachanganyikiwa ndoa anaitaka wazazi anawataka
   
 11. Zneba

  Zneba Senior Member

  #11
  Nov 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka miaka 35 dada 28
   
 12. F

  Ferds JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hiyo inasaidia kama wote mko tayari , asa huyu binti nadhani hampendi mshkaji ndio maana anasisitiza hilo haliwezekani
   
 13. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #13
  Nov 16, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Hii habari mbona ni uopande wa binti tu, je jamaa yeye hajataka kusilimu ili aoe?
   
 14. Zneba

  Zneba Senior Member

  #14
  Nov 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani kaka ferds nimemshauri kama ulishauri hapa,kaka anasema kiukweli mapenzi yameisha kabisa kwa huyo dada na hajui hata ni kwanini amejitahidi kila njia ingawa dada anampenda na anamvumilia kwa kila kitu cz alivyoniambia huwa anamfanyia wakati mwingine vituko kumpima tu lakini dada anavumilia kweli ila ndo hivyo moyo wake haumkubali,hata hivyo kwa maelezo yake anasema hata alipokuwa anamtongoza siyo kwamba alimpenda kihivyo ni kama alikuwa anataka kupita tu ila dada akampa mapenzi kwelikweli akaona kumbwaga tena gafla hawezi ndo chanzo cha kuwa nae mpka sasa
   
 15. Zneba

  Zneba Senior Member

  #15
  Nov 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanx ameupata ushauri wako
   
 16. Zneba

  Zneba Senior Member

  #16
  Nov 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora umeuuliza hilo jamaa anasema hawezi kubadili si unajua tena wanaume huwa ni ngumu sana hata kama amependa kiasi gani
   
 17. Edgartz

  Edgartz JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo jamaa bora amtundike mimba wazazi wenyewe watalegea!
   
 18. F

  Ferds JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Sasa hapa nadhani tatizo c mapenzi bali msimamo, huyu jamaa anonekana anataka vyote ila in order of preference, yaani akibuma kabisa kwa yule muislamu anakuja second selection inmpoza, mwambie kuchezea nafsi ya mtu ni sawa na kuchezea bomu bora amuiache huyo wa pili agagane na upwa wa kwanza labda atapata kitoeo cha kulia wali hapo baadae, au kama vipi abadili dini kwani suala c ni dini tu, yeye anamkazania mwenzie wakati moto unamchoma yeye kama vipi vipi tu abadili abebe goma, hawezi kubadili basi aliachie goma achape mwendo na wa msalaba mwenzie
   
 19. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Atii hisia zake, ili iwe rahisi kwake kuamua
   
 20. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  what is dini? kwani hawawezi wowana na dini zao, mbona kuna ndoa za kiserikali, au siyo
   
Loading...