Ushauri Wa Haraka, Dada mtu Anamkuwadia Mpenzi Wangu!

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Nimechanganyikiwa wadau,

Kuna binti nina mahusiano nae
kwa sasa anaishi kwa dadake.

Jana baada ya mechi huku akilia aliniambia anashindwa afanye nini,
Juzi dadake alimwita na kumwambia kuwa kuna mwanaume aende akaonane nae kesho J' Mosi ya tarehe 24, amsikilize na afanye chochote atakachomwambia.

Binti kaniambia ni masuala ya ngono maana kuna siku alipewa simu na dadake aongee na mwanaume matokeo yake huyo jamaa akaanza kumtongoza !

Huyo dadake ndie anayemfadhiri kwa kila kitu.

Wadau nishaurini namna ya kum-aresti huyu dada mtu kabla hajaniharibia mpenzi wangu!
 
nimechanganyikiwa wadau
kuna binti nina mahusiano nae
kwa sasa anaishi kwa dadake
jana baada ya mechi huku akilia aliniambia anashindwa afanye nini,
Juzi dadake alimwita na kumwambia kuwa.... kuna mwanaume aende akaonane nae kesho J' Mosi ya tarehe 24, amsikilize na afanye chochote atakachomwambia
binti kaniambia ni masuala ya ngono maana kuna siku alipewa sim na dadake aongee na mwanaume matokeo yake huyo jamaa akaanza kumtongoza !

huyo dadake ndie anayemfadhiri kwa kila kitu
siriaz plz......wadau nishaurini namna ya kum-aresti huyu bweg.e kabla hajaniharibia mpenzi wangu!

tatizo inaelekea ni wewe unakula vitu bure!mjini silaha ni edha tu ndugu ukitaka kumfunda mdomo dada mtu nenda kawamwagie mpunga wa kutosha utaona hali itakuwa shwari kbs.
 
eti kapewa namba awasiliane nae na ataambiwa pa kumfata
jamani !!kesho si wikend?
Sasa ninyi mnazani kitatokea nini huko
wadau wangu tafadhari nipeni mbinu plz jaman
ili huyu fal.a hasimdinye mpenzi wangu!
 
tatizo inaelekea ni wewe unakula vitu bure!mjini silaha ni edha tu ndugu ukitaka kumfunda mdomo dada mtu nenda kawamwagie mpunga wa kutosha utaona hali itakuwa shwari kbs.

ooh! So unanishauri kama sina pesa , nikubari kesho binti akafanywe?
Noo! Kuna watu watanipa mbinu hapa ; we ngoja!
 
Wewe funguka mfuate Dada yake mwambie
Afu weka uyo binti iwe mali yako nyumbani kajitambulishe Kama kweli unampenda usije ukawa una mchezea tu
 
Hapo mchukue huyo demu ukae nae home na dada yake hamna kukanyaga mguu ,problem solved
 
Majigo again
Hat hesabu hiz za kujlisha imeshindwa balance sheet haitabalance

Mchukue/ huyo mpenzi wako ishi nae kama kwweli unampenda
 
dah! Kwa hiyo wadau mnanishauri nimchukue bint?......hii ngumu kwa sasa
wenye ushauri mwingine jaman plz
 
ahsanteni nyote jamani!
Binti kwa sasa kwakweli sina uwezo wa kumtoa kwao
leo ndo nimeona machungu ya kutokuwa na hela
yaani huyu bweg.e hawezi akala hyu mtoto wakat nami najua
kilichobaki hapa wale wadau wangu wa attack , wanipe mbinu ya kumfanyia ambush huyu mbwig.a!
 
nimechanganyikiwa wadau
kuna binti nina mahusiano nae
kwa sasa anaishi kwa dadake
jana baada ya mechi huku akilia aliniambia anashindwa afanye nini,
Juzi dadake alimwita na kumwambia kuwa.... kuna mwanaume aende akaonane nae kesho J' Mosi ya tarehe 24, amsikilize na afanye chochote atakachomwambia
binti kaniambia ni masuala ya ngono maana kuna siku alipewa sim na dadake aongee na mwanaume matokeo yake huyo jamaa akaanza kumtongoza !

huyo dadake ndie anayemfadhiri kwa kila kitu
siriaz plz......wadau nishaurini namna ya kum-aresti huyu bweg.e kabla hajaniharibia mpenzi wangu!

Hapa kuna possibilities nyingi. Mojawapo ni kwamba huyo binti lao moja. Wanapima upepo wajue kama upo serious au zuga za watoto wa mjini. Fanya uamuzi muafaka. Tangaza ndoa kama nia unayo na uonyeshe kwa vitendo
 
Majigo again
Hat hesabu hiz za kujlisha imeshindwa balance sheet haitabalance

Mchukue/ huyo mpenzi wako ishi nae kama kwweli unampenda

Yaa hii inaweza kusaidia ila vipi kama bado ni denti anasomeshwa na huyo dadaake na wazazi wanajua yuko kwake? Halafu kama mshkaji hana uwezo wa kumgharamia hayo?
 
nimechanganyikiwa wadau
kuna binti nina mahusiano nae
kwa sasa anaishi kwa dadake
jana baada ya mechi huku akilia aliniambia anashindwa afanye nini,
Juzi dadake alimwita na kumwambia kuwa.... kuna mwanaume aende akaonane nae kesho J' Mosi ya tarehe 24, amsikilize na afanye chochote atakachomwambia
binti kaniambia ni masuala ya ngono maana kuna siku alipewa sim na dadake aongee na mwanaume matokeo yake huyo jamaa akaanza kumtongoza !

huyo dadake ndie anayemfadhiri kwa kila kitu
siriaz plz......wadau nishaurini namna ya kum-aresti huyu bweg.e kabla hajaniharibia mpenzi wangu!

Jifanye wewe ni officer kwny kitengo cha human rights hlf uende ukamchimbe biti huyo dada na kumtetea kipenzi chako kidizain na mwambie utakuwa unawatembelea mara kwa mara maana unajua kuna unyanyasaji hapo...
 
Yaa hii inaweza kusaidia ila vipi kama bado ni denti anasomeshwa na huyo dadaake na wazazi wanajua yuko kwake? Halafu kama mshkaji hana uwezo wa kumgharamia hayo?

swali zuri mkuu!
Ahsante sana
 
Kama vipi suka mpango na huyo demu ili mkamatishe kwa takukuru huyo jamaa"wambie takukuru anataka rushwa ya Ngono!!
 
Back
Top Bottom