Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,825
Nimechanganyikiwa wadau,
Kuna binti nina mahusiano nae
kwa sasa anaishi kwa dadake.
Jana baada ya mechi huku akilia aliniambia anashindwa afanye nini,
Juzi dadake alimwita na kumwambia kuwa kuna mwanaume aende akaonane nae kesho J' Mosi ya tarehe 24, amsikilize na afanye chochote atakachomwambia.
Binti kaniambia ni masuala ya ngono maana kuna siku alipewa simu na dadake aongee na mwanaume matokeo yake huyo jamaa akaanza kumtongoza !
Huyo dadake ndie anayemfadhiri kwa kila kitu.
Wadau nishaurini namna ya kum-aresti huyu dada mtu kabla hajaniharibia mpenzi wangu!