Ushauri wa eneo la kufanyia biashara ya ufundi simu

Mar 31, 2021
66
150
WanajamiiForums Habari za saa hizi,

Nipo hapa naomba ushauri wa location ya kufungua Biashara ya Ufundi simu. Mimi nikija niliemaliza chuo mwaka huu 2021, ukiachana na tahaluma niliyosomea chuo pia nina ujuzi wa ufundi simu, kwa upande wa hardware na software.

Nina mpango wa kufungua ofisi ya ufundi simu ambapo natarajia kukodi frem kwa garama ya 100,000-120,000 eneo lililochangamka kwa hapa Jijini Dar es Salaam.

Kwa mawazo yangu niliwaza nifungue office Gongolamboto, maeneo ya stendi karibu na soko, kwa sababu ya muingiliano wa watu, ila nikaona niombe kwanza ushauri hapa JF naweza nikapata wazo mbadala la sehemu ya kufanyia hii biashara.

20211023_234443.jpg
 

Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,891
2,000
Nenda kisarawe mzee fungua ofisi hapo utanipa mrejesho kikubwa usiwe unaiba au kuuza spea za wateja.
 

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,478
2,000
WanajamiiForums Habari za saa hizi,

Nipo hapa naomba ushauri wa location ya kufungua Biashara ya Ufundi simu. Mimi nikija niliemaliza chuo mwaka huu 2021, ukiachana na tahaluma niliyosomea chuo pia nina ujuzi wa ufundi simu, kwa upande wa hardware na software.

TATIZO LIPO HAPO KWENYE "TAHALUMA",
BADALA YA "TAALUMA".
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom