Ushauri wa dharura:naombeni ushauri wa jinsi ya kumuacha my galfrd kistaarabu.

Kaakimya bro inatosha kabisa. kama huwezi vumilia kukaa bila kumpigia tafuta namba nyingine utakayo kuwa unipiga kila unapotaka kumpigia i.e alt pers.
Usifunge mlango unao tokea usijeatashida ukitaka kurudi.
 
Huna lolote wewe mwanamke bado unampenda ndo maana unashindwa kumuacha japo mko mikoa tofauti halafu unasingiza amani. Anyway, sisi wengine huwa tunawapoteza tu mwenyewe atajijua ameachika kama simu hupokei na msg huzijibu kama vile ulivyoachika wewe!
 
Mbona hukuja kuomba ushauri wa namna ya kumtongoza ulivyokuwa unamapproach? Sasa hiv unaomba namna ya kumuacha..lol!
Kumuacha ni rahisi, kama ulivyomtongoza tumia njia hizo hizo kumuacha!
 
hapo mkuu senator la msingi ni kula jiwe jikaze kiume,ijapo maelezo yanaonesha bdo unampenda ila nkuambie ki2 kaka umbali si ki2 ni tabia 2 ya mwanamke,kama alikupenda hawez kuchange,na jua mwanamke akishamruhusu kidume mwingne na kuridhika naye,oh ni kama wazimu habadiliki,we iwe changamoto kwako,saka hela kwa fujo zaid,atakuja umbuka,saka mahela,hata kama hukumuaga akupendae hawez kukuchukia kwa baya moja ilhali mazuri ni meng thn mabaya.narudia hela kwa micharuko ndo dawa yao,mwsho wa Cku utaoa chombo cha uhakika.
 
simpo,akikupigia usipokee,aki2ma msg usijibu kama baada ya siku 3 jibu hiyo msg then kaa kimya hivyo hivyo uku ukiongeza siku za kutopokea simu wala kujibu msg mbona ataelewa tu kua hamna tena mausiano.
 
Nimechoka na vituko vyake,ananijbu dharau,anapokea simu akijsikia,txts hazijibiwi kwa wakati na mambo mengne mengi ya mauzi ambayo nikiyaandka hapa mnaweza kunihurumia,eti sababu ya yote haya ni kwamba nliondoka ghafla bila kumuaga,sa hzi tuko mikoa tofaut na ninahis ana kidume kingne tayar knamzuzua.naomben mnipe maneno yenye busara yatakayo tufanya wote tuachane kwa aman...natanguliza shukrani.

...mwabie hayo maneno matatu niliyoyapigia msitari.
 
Ana kidume kingine alafu unaendelea kubembeleza mkuu???
In short, ningekuwa mimi nishapiga chini muda mrefu, karagabaho!!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom