Hapo kidogo tutaenda sawa nashukuru mkuuView attachment 463767
Mkuu hiyo unapata mziki mkubwa na safi kabisa,ila upate vitu original utashangaa,ukiwa folen unapiga mziki gari za mbele yako zinavibrate si kitoto,chukua speaker ya pioneer watt2000 double coil wanauza 180000 kama sikosei,tweeter sony 100000,booster 250000,equilizer 150000.na huu ni mziki mkubwa sana,usichukue woofer ya sony kama unataka deep bass.nawakilisha
originar kabisa mkuu nilinunua kenyaOriginal au