Ushauri wa bure tu na wenye 'Ukweli Mchungu' kwa Wanachadema wote Mitandaoni na Kwingineko duniani

Mkuu nilikua nakuheshimu sana kwenye mabandiko yako ya awali wakati una akili kidogo hata za kuvukia barabara, kokote Duniani kwa watu walio smart hawapambani na upinzani wala hawawaoni kama ni kikwazo, maana kama unafanya mambo yako na wananchi wanakukubali kwanini utumie nguvu kukubalika? na pili hairuhusiwi kuzungumzia chochote kilichoko mahakamani hata kama wewe ni Rais maana lolote likitokea kule utaonekana dhahiri kuwa ulishinikiza hiyo hukumu, kwa maneno ya mama yenu sasa naamini kwamba hata yeye anapiga simu kwa majaji kuwaelekeza cha kufanya , Hatakuwa Rais kwa kipindi kingine Take it from me, maana kwakua yuko weak wanamwendesha wanavyotaka na yeye anajaa tu kichwa kichwa. She cant even reason.
Kwahiyo GENTAMYCINE nikiisema CCM Watu wa CHADEMA mnanikubali na kuniona nina Akili ila Siku nikigeuka na kuwasema CHADEMA na Kuwatetea CCM na Rais Samia naonekana sina Akili si ndiyo?

Pumbavu zenu kabisa na sasa natamani huyu Mbowe wenu akutwe na Hatia huko aliko ikiwezekana afungwe Maisha au hata Adhabu ya Kifo iwe juu yake ili mkome na mshike Adabu Wanafiki wakubwa nyie.

Leo nataka CHADEMA mnichukie rasmi.
 
FB_IMG_1628575518465.jpg
 
Mkuu nilikua nakuheshimu sana kwenye mabandiko yako ya awali wakati una akili kidogo hata za kuvukia barabara, kokote Duniani kwa watu walio smart hawapambani na upinzani wala hawawaoni kama ni kikwazo, maana kama unafanya mambo yako na wananchi wanakukubali kwanini utumie nguvu kukubalika? na pili hairuhusiwi kuzungumzia chochote kilichoko mahakamani hata kama wewe ni Rais maana lolote likitokea kule utaonekana dhahiri kuwa ulishinikiza hiyo hukumu, kwa maneno ya mama yenu sasa naamini kwamba hata yeye anapiga simu kwa majaji kuwaelekeza cha kufanya , Hatakuwa Rais kwa kipindi kingine Take it from me, maana kwakua yuko weak wanamwendesha wanavyotaka na yeye anajaa tu kichwa kichwa. She cant even reason.
😞
 
Chadema walimuita Kikwete dikteta....baadaye wakamuita DHAIFU.....

Chadema walimuita JPM dikteta.....

Chadema mnamuita SSH dikteta.....

Nikijumlisha ni kuwa mnataka NCHI IENDE MTAKAVYO NINYI....KULINGANA na AJENDA ZENU NINYI .....Who are you by the way ?!!!!!

Kila Rais atokanaye na CCM hamtoacha kumuita DIKTETA.....

ENDELEENI KUUFUKUZA UPEPO
 
Mkuu nilikua nakuheshimu sana kwenye mabandiko yako ya awali wakati una akili kidogo hata za kuvukia barabara, kokote Duniani kwa watu walio smart hawapambani na upinzani wala hawawaoni kama ni kikwazo, maana kama unafanya mambo yako na wananchi wanakukubali kwanini utumie nguvu kukubalika? na pili hairuhusiwi kuzungumzia chochote kilichoko mahakamani hata kama wewe ni Rais maana lolote likitokea kule utaonekana dhahiri kuwa ulishinikiza hiyo hukumu, kwa maneno ya mama yenu sasa naamini kwamba hata yeye anapiga simu kwa majaji kuwaelekeza cha kufanya , Hatakuwa Rais kwa kipindi kingine Take it from me, maana kwakua yuko weak wanamwendesha wanavyotaka na yeye anajaa tu kichwa kichwa. She cant even reason.
Hakuwa na hana mpango wa kuwa rais mbona mnakusha maneno wapi amesema anataka kuendelea na urais hatua aliifikia ni kubwa na ya kihistoria yake na vizazi vyake. Umeelewa wewe janja weed
 
Subiri sasa uone kama ataacha kugombea , maana hata mwendazake alijitia hatakaa hata dakika moja muda wake ukifika , lakini akawa anawatuma kina Kessi na Ndugai pamoja na lile zee Jah people kushinikiza hoja ya kuongezewa muda, Urais hasa wa nchi zetu maskini maskini hizi hata siku moja hawatakagi kutoka believe in it
 
Kucheka ucheke wewe....

Kusema useme wewe.....

Mimi naingiaje sasa?

Tulia sindano ziwaingie.....

ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO
Wew siyo kweli kuwa ni mjinga, sema unajitia ujinga mwenyewe lakini uko timamu kabisa.
 
Back
Top Bottom