Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

Acha uzushi,Mwanza gani frame elfu 70?Au unaishi Misungwi?
Dodoma frem bei ghali wakati biashara hakunaMwanza mtaan unapata frem kwa 70,80,100 na bishara inazunguka kuliko dodoma mjin sehem ambayo utalipa frem kwa laki nne wakati biashara hakuna
 
Tufrem tudogo bei ghali mpaka unawaza unaweka nini kitoshee humo ndani mpaka ulipe mfno 200k per month
Wenyeji wameingiwa na tamaa, baada ya kusikia ni makao makuu, lakini wamesahau kuwa limebadilika jina tu,hawasomi alama za nyakati hata kidogo
 
Aman itamalaki kwenu

Leo nimejitolea kutoa ushauri wa bure kabisa bila malipo. Toka Rais atangaze Dodoma kuwa makao makuu ya nchi watu wengi wamekuwa wakidhani kuwa Dodoma mambo ni shwari sana. Ukweli ni kwamba Dodoma mambo ni magumu sana hakuna mzunguko wa pesa wala nini.

Ni pakame sana na pana watu wavivu sana wasio penda kazi. Kwa hiyo basi ndugu zangu msije Dodoma. Kuna watu wengi sana wanakuwa wanatoka mikoa yao na kuja Dodoma wakidhani kuna maisha mazuri na maisha ni magumu sana

Hakuna pesa wala nini. Kwanza flame bei juu na hakuna pesa kabisa

Shauri yenu
Flame ?
 
mzunguko wapesa unao ujua wewe ni upi? mna kera sana na huu usemi "mzunguko wa pesa" kauze tikikiti pale jamatini au nyerere square uone kama hutopata pesa
Mbna haujajiambia ww ukauze mitumba na hereni nyerere square uone kama haujapata pesa


Utafananisha muuza matikiti wa kkoo na jamatini?!
 
Aman itamalaki kwenu

Leo nimejitolea kutoa ushauri wa bure kabisa bila malipo. Toka Rais atangaze Dodoma kuwa makao makuu ya nchi watu wengi wamekuwa wakidhani kuwa Dodoma mambo ni shwari sana. Ukweli ni kwamba Dodoma mambo ni magumu sana hakuna mzunguko wa pesa wala nini.

Ni pakame sana na pana watu wavivu sana wasio penda kazi. Kwa hiyo basi ndugu zangu msije Dodoma. Kuna watu wengi sana wanakuwa wanatoka mikoa yao na kuja Dodoma wakidhani kuna maisha mazuri na maisha ni magumu sana

Hakuna pesa wala nini. Kwanza flame bei juu na hakuna pesa kabisa

Shauri yenu
hatuji hata kwa winji!!
 
Mie ni staff hapa mwaka wa 4 sasa, usidanganywe ukaleta mtaji wako hapa kichwakichwa utajikuta unaongea kilantini ambacho hukuwahi kujifunza hata chembe!
Mkuu kwamba ukiweka capital utaongea kilatini🤣😂🤣 But vipi kwa future maana kwa jicho la kiwekazaji baadae Dodoma patakuwa hot cake..Nakubaliana na wewe kwa sasa siyo mahali pa kumwaga huge capital ukitegemea fast return..utazungumza kilatini 🤣
 
Dodoma pagumu kweli kwa sababu mji bado mdogo sana kwahiyo hakuwezi kuwa na mzunguko wa pesa mkubwa
kwani mji mdogo hapa Tzn ni dodoma pekee? mbona tunasongesha life kama kawa
Kwa namna yeyote ile sijawahi penda kuishi Dar,kama saizi kila mtu analalamika joto limezidi,mwezi uliopita mafuriko na madimbwi kila mahali sasa hayo sio maisha mar dengue sijui mbu yaani ni tabu tupu
 
Shida ina kuja moja ni kimji chenye wakaaz wachache sana
kwamba huku sumbawanga au songea kwa mfano kwenye wakaazi wachache tena wasio na kipato cha uhakika hakuna matipa na watu hawajengi au?
Kuweni xriac Dodoma ni mji wa 3 kwa idadi ya watu Tzn nyuma ya dar na mwanza sasa nyiewatu wa dar msitegemee mlivyolundikana dar na mkoani kuwe hivyo
 
Kutoka na dodoma kukosa mzunguko wa pesa ndo maana ukichukua tajiri nambari moja dodoma ukimpeleka mwanza atashika nambari ya mia moja
Tangu lini tajiri akawa spender? Kwa taafifa yako kila baada ya miezi 6 ukienda dodoma unakuta imebadilika lakini sio mwanza au arusha au mji yoyote tzn ukitoa Dom na Dar tuu hii inakupa picha huku kuna biashara hata ushahidi mnao wewe angalia tu kuna vituo vingapi vya mafuta kati ya dom vs mwanza au chek idadi ya mabus ya abiria utapata jibu
Kama hujaridhika na huo ushahidi rudi kwenye makaratasi ulinganishe mapato ya ndani ya jiji la dodoma na hiyo miji yenu uchwara excluding Dar.
 
Back
Top Bottom