Ushauri wa bure kwa 'Walioteuliwa' kutoka katika Ofisi zao walizopo sasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
43,825
2,000
Nawashaurini nyote ambao mtaaga hizo Ofisi zenu mlizopo sasa kwamba andikeni Barua za Kusema kuwa mtarajea tena hapo, kwani kwa Watu walioteuliwa huku wengine tabia zao zikijulikana kuna Uwezekano mkubwa baadhi yao wakadumu kati ya Miezi 6 au hata mwaka tu na watafurumushwa ( watatumbuliwa )

Huu ni ushauri wangu wa bure Kwenu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom