Ushauri wa bure kwa wagombea uraisi

tofyo

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
2,698
2,000
Ushauriwangu
Waliochukua form ya kugombea uraisi
wa jamhuli ya muungano wa Tanzania
kwenye uchaguzi wa October2015
naomba wakabizi hati zao za
kusafiria,ili kama ikitokea jahazi limetoboka tugawane mbao pamoja.
ni wazolangu lichukue ukipenda.

Sintofahamu nipale Mtufulani akikatwa jinalake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom