Vyama vya siasa mnatakiwa kuwa makini sana na hawa watu wanaokosa madaraka na kuhamia chama cha siasa kingine. Mara nyingi hao watu hawapo kwa maslahi ya Wananchi, wapo kwa maslahi yao binafsi. Mfano mzuri ni Shibuda. Kwa mtu yeyote anayefuatilia siasa utagundua tu yule mtu si kwa ajili ya maslahi ya wananchi ni kwa maslahi yake binafsi na kutaka madaraka makubwa ambayo hana uwezo nayo.
Naomba kutoa mfano pia wa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma. Huyu bwana sio mwanasiasa ambaye ana uchungu na watu wake. Wakati anagombea ubunge Kigoma mjini chini ya CHADEMA alikuwa gumzo kiasi kwamba wafuasi wa CHADEMA waliteseka sana, waliachana na waume na wake zao, Walivunjwa miguu na mateso mengine mengi sana, lkn alivyokosa madaraka, CCM wakamshawishi na kumuahidi madaraka then akahamia CCM! Sasa nauliza Je huyu alikuwa anataka madaraka kuwasaidia wananchi au kwa maslahi yake binafsi? Ur welcom