Ushauri wa bure kwa vijana ambao hawajaoa au kuolewa

kethika

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
630
472
Najua humu wapo vijana ambao hawajaoa au kuolewa. Ushauri huu ni kwa faida ya wote. Humu pia wapo washauri na wenye watoto na ndugu zao ambao hawajaoa au kuolewa. Ushauri huu pia unawafaa.

Kama wewe ni kijana wa kiume na ni wa mwisho ktk kuzaliwa usioe msichana anayetegemewa kwao. Wasichana wa hivi huwa wanakuwa na spirit ya uongozi ndani yao. Hivyo hataacha kukuongoza pia mkiwa hapo ndani. Sasa wewe si unajua ndo kichwa cha nyumba, jambo hilo litwaletea usumbufu mkubwa sana.

Kama wewe umeamua kuolewa na mtoto wa kiume wa mwisho kuzaliwa kwao, basi jiandae kuwa mama in some points maaba tabia za utoto sometimes zitaibuka kwa mumeo

Kama umeamua kuoa msichana wa mwisho kwao basi jiandae kulea.

Naomba kuwasilidha mawazo yangu huru.
 
Hijaoa wala kuolewa, haya yote umayajuaje...!!

Huu/haya yote ni mtazamo wako tu..
Hakuna ukweli wowote..
 
Jiwe gizan, mapovu utakayo ona gawaja kwa idadi zidisha kwa mia, utapata % ya utaft wako.
 
Kuna ukweli hapa. Kuna jamaa yangu ameoa mtoto wa mwisho yaani ni vituko hadi kero
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom