Ushauri wa bure kwa uongozi wa mabasi ya RATCO

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,119
Naishi Dar ila familia yangu iko Muheza, kila mara nipatapo muda huwa nawatembelea kuwajulia hali, huwa natumia usafiri wa ratco kwani huwa ni wa uhakika, wanajali muda yaani wako serious kiukweli.

Ni muda mrefu sasa nimekosa muda wa kwenda kuwatembelea familia kutokana na pilika za hapa na pale hivyo huwa nikipata kitu kizuri nanunua kisha nawatumia kwenye basi hili hili la ratco kuna mapungufu kidogo nimeyaona ambayo ni vyema uongozi ukafuatilia hili ili isijiondolee sifa yake nzuri.

Nilituma mzigo wa nguo za mtoto pamoja na dawa niliyokuwa nimenunua, mzigo ule haukushuka Muheza kama makubaliano yalivyokuwa badala yake ukapelekwa Tanga mjini.

Baada ya kuwasumbua kwa kupiga simu ofisini mara kadhaa wakaurudisha tena Dar es salaam, kifupi mzigo ulikaa kwenye basi kwa muda wa siku kama nne hivi ndiyo ukaja kupatikana, mtoto alikuwa ameumwa mpaka basi.

Tukio la pili nilitumiwa computer kutoka Muheza siku ya kwenda kuichukua haikuonekana wasijue imepelekwa kwenye ofisi ipi, nilikuja kuiona baada ya siku tatu.

Jana tarehe 24 May nimetuma viatu vya mtoto tena nikasisitiza naomba vifike kwa wakati, mpaka naingia jamvini viatu havijulikani vilipo.

Kuna muhudumu wa kiume wa Tanga ambaye huwa anapokea simu ya mkononi huwa anatumia lugha kali sana, nakumbuka siku moja aliniambia "wewe ni mzembe na huyo unayemtumia mzigo pia ni mzembe mnataka mizigo yenu ipotee kisha mtudai hela nyingi"

Huduma ni nzuri kwa ujumla ila wakishughulia changamoto hii itakuwa nzuri zaidi.
 
Kaka tangu zamani basi letu Rahaleo. kwa usalama wa abiria hata mizigo. Huko Ratco umefuata nini ?Mimi sasa mwaka wa kumi na mbili basi langu Rahaleo. nikikosa la leo nachukua la kkesho au hata siku mbili ntasubiri. Sitaki presha za kipuuzi eti. Kwa mizigo yaani wanauhakika kupitiliza. Enzi zile kabla ya mpesa unamuambia mtt aende ofic ya Rahaleo pesa amwambie karani baba atatuma pesa kesho. mtt anapewa pesa hata bila kusaini popote. Rahaleo wako juu.
 
nilifuata kipupwe mkuu
 
Nakumbuka nilitumiwaga simu ya mkononi kwa kutumia hii kampuni, niliisubiri pale ofisini hadi ilipofika, sikutaka hata ilale palepale
 
Hawa jamaa hawafai hata kidogo kwenye kusafirisha vifurushi hawako makini na pia majibu yao hayaridhishi laiti ningemjua bosi wao ningewashtaki,siku moja nilituma bahasha kwenda tanga pale ofisi za lumumba nikamkuta dada mmoja nikalipia nikaondoka hapo ilikuwa saa nane mchana akaniambia itaondoka na bus la asubuhi siku inayofuata,cha ajabu sasa siku inayofuata kule tanga haijafika nikasubiri jioni kufuatilia tena napo ikawa haijafika,nikaona isiwe shida siku ya tatu yake nikapiga simu pale lumumba eti jamaa aliopokea simu ananiambia wamekosa gari ya kuipeleka ubungo ile bahasha gari yao ni mbovu nikamwambia uko seriou na unachokijibu?akaanza kunijibu majibu yasiyo hata na maadili kiukweli hawa jamaa hawafai hata kidogo kuwa mizigo ni bora kabisa RAHALEO na sasa nimerudi rahaleo kutuma parcel zangu
 
Imekaa kama kipromo hivi! kimsingi Ratco wako vizuri kwa huduma kwenye mabasi yao,labda huko kwenye parcel, nadhani bwana Kifaranga ujumbe umefika!
 
Kaka tangu zamani basi letu Rahaleo. kwa usalama wa abiria hata mizigo. Huko Ratco umefuata nini ?Mimi sasa mwaka wa kumi na mbili basi langu Rahaleo. nikikosa la leo nachukua la kkesho au hata siku mbili ntasubiri. Sitaki presha za kipuuzi eti. Kwa mizigo yaani wanauhakika kupitiliza. Enzi zile kabla ya mpesa unamuambia mtt aende ofic ya Rahaleo pesa amwambie karani baba atatuma pesa kesho. mtt anapewa pesa hata bila kusaini popote. Rahaleo wako juu.
 
Raha leo kwa parcel ndio mwake, hata enzi hizo hamna mpesa niliitumia sana, wapi wazee wa deep sea, nkale ngisi na pweza miye.
 
Back
Top Bottom