Ushauri wa bure kwa TRA: Wahindi na waarabu wameanzisha mtindo mpya wa umachinga, mnapoteza mapato

Huu ni ushauri wa bure kwa TRA.

Kuna idadi kubwa sana ya wahindi na waarabu, tena wasio watanzania(wengi hata kiswahili hawajui) wanaouza vyombo vya ndani vyenye thamani kubwa kwenye ofisi za umma. Kwa wiki moja tu kwenye ofisi moja wanaweza kuuza zaidi ya Milioni 12 kwa mkopo au kwa pesa taslim.

Unakuta wanatembea na hivyo vyombo vya ndani kwenye magari wanazungusha kwenye ofisi za umma, hawatoi risiti ya kielektronic wala tisiti ya kawaida.

Hii ni njia mpya ya ukwepaji kodi, toeli onyo au ilani ya kupiga marufuku biashara isiyo halali kwenye ofisi za umma na ofisi binafsi zenye watu wengi.

Hawa watu wanalenga hasa ofisi za umma zenye watu wengi, mfano ofisi ina watumishi 1200, kama mtu anauza sufuria za kupikia seti moja laki 6, wakinunua watu 300 tu hapo ana milioni 180 za bila kodi. Akimaliza analeta sahani, friji, majiko ya umeme na vitu kama hivyo.

Huu ni ushauri wa bure toka kwa mwanamchi wa kawaida mpenda maendeleo.
Acha unoko mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wana vitambulisho vya machinga kuna tatizo gani. mnatengeneza tatizo wenyewe halafu mnaanza kulialia kama mc pilipili hapa
 
Huu ni ushauri wa bure kwa TRA.

Kuna idadi kubwa sana ya wahindi na waarabu, tena wasio watanzania(wengi hata kiswahili hawajui) wanaouza vyombo vya ndani vyenye thamani kubwa kwenye ofisi za umma. Kwa wiki moja tu kwenye ofisi moja wanaweza kuuza zaidi ya Milioni 12 kwa mkopo au kwa pesa taslim.

Unakuta wanatembea na hivyo vyombo vya ndani kwenye magari wanazungusha kwenye ofisi za umma, hawatoi risiti ya kielektronic wala tisiti ya kawaida.

Hii ni njia mpya ya ukwepaji kodi, toeli onyo au ilani ya kupiga marufuku biashara isiyo halali kwenye ofisi za umma na ofisi binafsi zenye watu wengi.

Hawa watu wanalenga hasa ofisi za umma zenye watu wengi, mfano ofisi ina watumishi 1200, kama mtu anauza sufuria za kupikia seti moja laki 6, wakinunua watu 300 tu hapo ana milioni 180 za bila kodi. Akimaliza analeta sahani, friji, majiko ya umeme na vitu kama hivyo.

Huu ni ushauri wa bure toka kwa mwanamchi wa kawaida mpenda maendeleo.
Hakuna tatizo kwasababu wanavyo vitambulisho vyao vya wamachinga wamelipia elfu 20 kama walivyoagizwa na mheshimiwa rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom