ushauri wa bure kwa ruttashobolwa

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Piga chini hii ndito Madame B,juu ya nini inakuweka roho juu mtoto wa kiume.
Kwanza we hendisam,elimu unayo,fuko benki limetuna, ndugu mabilionea kama bishanga unao kibao,tabu ya ninini mwanamke mwenyewe anakugeuza chumba cha gesti aingie atoke aingie atoke,mmwage bana wanawake kibao mjini.
Na kwa taarifa yako jana kaonekana hindu mandal sijui anaumwa nini. Kibaya zaidi mashoga zake kina Zinduna Kongosho King'asti BADILI TABIA gfsonwin sweetlady na Mamndenyi wanamharibu,kutwa kucha ni kusogoa tu kwenye simu na kupeana umbea,utapata mke kweli hapo?
 
Last edited by a moderator:

Makaka wana kazi.
Hapo unatamani nihamie kwako Bishanga.
 
Last edited by a moderator:
Madame B wala hili linalojiita bepari la kihaya lisikuwazishe, unampiga nuksi ya mayai viza na mavi baaasi. kutwa kucha atakuwa anahemea chai ya rangi na vitumbua kwako lol!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe hata course hizi huwa unafundisha!?? nilidhani ni phyics na bios logos pekee

hahahha! Baba V kwani wafikiri hii ni ngumu kama ilivyo physics basi?? hii ni rahisi kama kumsukuma mlevi manake inahitaj akili ya mtu alokata tamaa ya maisha na ambaye keshafikia mwisho wa uwezo wa akili kufikiri sasa anaanza matatizo.
 
Last edited by a moderator:
Piga chini hii ndito Madame B,juu ya nini inakuweka roho juu mtoto wa kiume.
Kwanza we hendisam,elimu unayo,fuko benki limetuna, ndugu mabilionea kama bishanga unao kibao,tabu ya ninini mwanamke mwenyewe anakugeuza chumba cha gesti aingie atoke aingie atoke,mmwage bana wanawake kibao mjini.
Na kwa taarifa yako jana kaonekana hindu mandal sijui anaumwa nini. Kibaya zaidi mashoga zake kina Zinduna Kongosho King'asti BADILI TABIA gfsonwin sweetlady na Mamndenyi wanamharibu,kutwa kucha ni kusogoa tu kwenye simu na kupeana umbea,utapata mke kweli hapo?

Ushamalizana na mkeo?mbona hata hukumu yenu sijaiyona
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom