Ushauri wa bure kwa mtoto wa Bakhresa ambaye ni Mjumbe wa bodi ya TANESCO nchini kwa sasa

Nina imani atakusikiliza, Bakhresa alikataa kuchukua malori ya mafuta ya Kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wakati akiwa madarakani , kiongozi alitaka kufichiwa magari yake Bakhresa kwa usafi wake akakataa

January anataka kumtumia kwa agenda zake ; hivyo he will be well advised kama hatajihusisha na makundi ya hawa wanasiasa na afanye biashara za familia yake tu. Baba yake did very well kwasababu aliwakwepa wanasiasa pale walipotaka kumtumia!!!
 
Kwa hiyo atahusika kupitisha kusudio la kuwasha mitambo mbali mbali ya kugua umeme.
Na je mvua zikizidi, je wataizima mitambo yao tena?
 
Narudia tena Tanesco kuna wizi mkubwa sana unaendelea
Kaka pamoja na wizi huu, Tanesco ishakuwaga chocho la upigaji la CCM miaka nenda rudi tangu Net Group SA, Richmond, Songas, IPTL na midudu mininge kibao.
 
Back
Top Bottom