Ushauri wa bure kwa mtoto wa Bakhresa ambaye ni Mjumbe wa bodi ya TANESCO nchini kwa sasa

He is clean na ndio maana pamojat na Samia kufanya mabadiliko ya uongozi wa makatibu wakuu bado anapeta ,

Lakini bodi ya Tanesco ni kichefuchefu,kasoro mtoto wa Barekhesa
Utaolewa na mtoto wa Bakhresa sio kwa mahaba haya.

Umemjulia wapi tabia zake?
 
Nia yako ni ovu. Kwanini unataja kampuni ya bharkesa badala ya kutaja jina mtu ambaye yupo kwenye bodi ya tanesco?. Au kampuni zima ya Azam ipo kwenye bodi?. Acha unafiki muusishe aliye kwenye bodi tu si uhusishe kampuni za azamu.
Rudia kusoma uelewe wewe panzi ,mbona uzi uko clear ?
 
Nakuomba uzingatie ushauri huu ninaokupatia kwa sasa, kwani una faida kwako binafsi na kwa kampuni yenu ambayo inajiendesha kwa uaminifu sana na ina jina zuri Nchini na nje ya nchi hii.

Kama hayati Magufuli hakuwatilia Shaka hakika nyie mna wema fulani wa kiwango cha juu kwa taifa hili, nakumbuka mpaka mlipewa eneo la kulima miwa ili mzalishe sukari kukidhi mapungufu ya sukari nchini, hiyo ni heshima unapaswa kuilinda ambayo mlipewa na kiongozi mkuu wa nchi.

January Makamba ni rafiki yako na urafiki wenu imefanya akuingize kwenye bodi ya Tanesco nchini.

Fahamu katika bodi hiyo umechanganywa na watu wasio waaminifu kwa taifa hili, wana tuhuma za wazi kabisa za ubadhirifu wa mali za umma, akiwemo Waziri wako wa nishati.

Kukubali kufanya kazi na hili kundi lenye tuhuma nzito inaonyesha na wewe kwa namna flani ni mtuhumiwa tarajiwa pindi mambo yatakapoharibika zaidi.

Watanzania wa leo sio wa Jana, wameamka, hivyo isijeonekana pesa inakwapuliwa nishati (Tanesco)kisha inaingizwa kwenye biashara yenu ya Bakheresa company kufanya mzunguko ili kujinufaisha.

Hali kadhalika mikataba ovu itakayoingiwa na wizara kwa lengo la kuhujumu taifa utahusika moja kwa moja bila kupepesa macho kama mjumbe wa bodi.

Hiki ninachokuambia ndio kitatokea baadae nchi hii ina mengi , mtaingia kwenye tuhuma za kutumika na wanasiasa,na hapo baadae huwezi jua mtawala atakua nani na atachukua hatua gani kuhusiana na ukwasi wenu.

Kaa tafakari na fikiria nje ya box, unaziona hizi kelele za wananchi ya kinachoendelea wizara ya nishati, ni dalili isio njema kwako.

Bakheresa asije akawa Seti Sing wa baadae au Rugemalila. JIUZURU UJUMBE WA BODI
Kwanza januari ni rafiki yake. Hapo tu ni shida maana januari anateua rafikiki zake...ndege wenye kuruka pamoja lao moja.
Mimi ningemshauri huyo kijana wa bakhereza kujiuzulu tu kwani magufuli mpya atakapoingia ataishia kua kama seth ikiwa wataendesha ufisadi tanesco.
 
Kwanza januari ni rafiki yake. Hapo tu ni shida maana januari anateua rafikiki zake...ndege wenye kuruka pamoja lao moja.
Mimi ningemshauri huyo kijana wa bakhereza kujiuzulu tu kwani magufuli mpya atakapoingia ataishia kua kama seth ikiwa wataendesha ufisadi tanesco.
Hakuna ubishi
 
Labda kama mama yako anataka. Kuachika akaolewe naye ,ni sawa,au baba yako
We mjane tunajua maumivu unayopitia.
Ila kumbuka mumeo alikuwa jambazi tena alikuwa mlezi wa Majambazi kama Sabaya na Makonda.

Sibiri mama aendelee kuwapiga kwenye mshono.
 
Back
Top Bottom