Ushauri wa bure kwa mnao apply vyuo.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
1}chagua kozi ambayo unaipenda kwa dhati kutoka moyoni,usichague kozi just ili na wewe uje kuonekana uko chuo kikuu,kumbuka hyo ndio future yako so fanya maamuzi sahihi.
2}usichague vyuo kwa kufuata mkumbo,angalia kwanza marks zako kama hazijakaa fresh usikimbilie kuomba vyuo vyenye competition kubwa kama udsm,sua au muhimbili,hii iliwatokea wengi last year wakajikuta wanapelekwa vyuo ambavyo havikua machaguo yao,so kama marks zako hazijakaa fresh usifuate mkumbo kwa kuchagua hvo vyuo vyenye ushndani.
3}kama nyumbani kwenu hamko fresh kiuchumi,chagua kozi zilizopewa priority mfano ualimu,udaktari na uhandisi otherwise ukichagua kozi nyngne kuna kupata mkopo au kukosa.
4}kama hauna princple mbili,usijisumbue kuapply,utaliwa pesa yako bure,mwaka jana wengi wameliwa kwa kutokujua.
5}kama unaona matokeo yako co mazuri kivile,basi nakushauri uapply sehemu mbili yani tcu na wkt huo huo omba na diploma either ya ualimu au yoyote unayoipenda ili hata tcu wasipokuchagua unakua una alternative nyingne kuliko kukaa home na kupoteza muda.
Ni hayo tu kwa leo.asanteni
 
Ushauli mzuri sana perry hivyo inabidi tuuzingatie kozi utayochagua ndo maisha
 
Mh! Safi ila ualimu ni wito kama mtu kafeli na hana wito!?
 
Mh! Safi ila ualimu ni wito kama mtu kafeli na hana wito!?

kama kwenu mko vizur kiuchumi omba kozi yoyote unayoipenda,ila kama wewe ndo wale wenzangu na mie wa kutegemea heslb,omba ualimu ili iwe rahisi kwako kupata mkopo na vile vile kupata ajira..hayo mambo mengne ya wito yaweke pembeni kwa sasa.ila ni ushauri tu so u can take it or leave it.
 
kima cha chini kuwa 350000 kwa walimu 2016 by CDM so now ualimu ni dili kama udakitari
 
kima cha chini kuwa 350000 kwa walimu 2016 by CDM so now ualimu ni dili kama udakitari

Kweli wewe bado mtoto yaani hela ya kujibana kwa wiki moja wewe ndio unaifurahia kuwa ndio mshahara mnono? kuwa uyaone.
 
Back
Top Bottom