Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Wanabodi,
Naomba kukiri kuwa nimekuwa inspired kupandisha thread hii, kufuation thread ya Mkuu Kakke
Kwa sasa Mhe. Zitto ndie "the center of attention!", macho ya Watanzaia wote yako kwake!, macho ya Bunge zima yako kwake!, Macho ya Jumuiya ya Kimataifa yako kwake!, Macho ya nchi wafadhili, yako kwako!, macho ya dunia nzima wenye interest na Tanzania, yako kwake!, why he had to pre empty such a big thing kwenye gazeti?!, why?, what is his motive behind?!.
If I were Zitto, I'll keep quite!, sitaandika chochote to do with escrow report on anything, be it, social forums, or any media query zaidi ya kusema subirini maoni ya PAC ili siku maoni ya PAC yakitoka, yatoke with "a Big Bang!", hizi pre emptive moves zina dilute makali ya ripoti yake!. Kama bunge lilivyotaka kuicharukia mahakama kuingilia uhuru wake, wakati kuikweli hakuna hatua zozote za mahakama kuingilia uhuru wa Bunge, vivyo hivyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge, hawezi kuweka "pre emptive moves za process ya kumvua jaji ujaji, based on hearsay, wakati ripoti yenyewe haijawekwa mezani na tuhuma za gross miss conduct kuwa proved beyond resobale doubt!, kumbukeni, kupewa fedha na Rugemalila sio kosa la jinai!, "it is not criminal!", ila sababu ya kupewa fedha hizo, ndio inaweza kuleta "crimes against morality!", hivyo kufanya mahojiana kuonyesha criminal intent wakati ripoti bado ni siri!, it is uncalled for!.
Ushauri wangu kwa Mhe. Zitto, at the moment, just jinyamazie chime kabisa!, hiyo ripoti ya CAG, imekabidhiwa kwako kama mwenyekiti wa PAC na sio kama Zitto Kabwe, hupaswi kusema chochote kwa sasa kwa sababu hata contents za ripoti yenyewe bado ziko supposed to be confidential, hivyo sio public document hadi zitakapowasilishwa rasmi mezani kwa spika!. The same applies to contents zozote za maoni ya PAC ni confidencial mpaka yawasilishwe mezani!, unapaswa kujitenganisha wewe kama Mhe. Zitto Zuberi Kabwe na wewe kama Mwenyekiti wa PAC!, hivyo hata ukifatwa na waandishi kuulizwa details zozote za confidential matter, hupaswi to disclose at this moment.
Mimi ni mmoja wa washauri wa kujitolea, ambaye nimeisha toa ushauri mbalimbali kwa vyama, wanasiasa na hata watu wa kawaida, na hizi ni baadhi tuu ya ushauri zangu!.
[h=3]CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga! [/h][h=3]Ushauri: Lowassa Asikanyage Arumeru!, Atamponza Sioi!. [/h][h=3]Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko ...[/h]Ila pia Mhe. Zitto, nimeisha mshauri sana humu, [h=3]Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm![/h][h=3]Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...!. [/h][h=3]Zitto Si Mzalendo wa kweli!, Baada ya kumsikiliza, Nimebaini Haya!.[/h]
Uzuri wa ushauri wa bure, ni unconditional, mshauriwa yuko at full liberty to take it or leave it!.
Jumapili Njema.
Pasco.

Kwa maoni yangu, this interview should never have happened!, hili ndilo tatizo kubwa kuliko yote la Mhe. Zitto, impulsiveness driven ya self esteem na egotistic desires!.Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC),Zitto Kabwe
Na Abdallah Khamis 23/11/2014
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC),Zitto Kabwe, amesema kamati yake itatoa hoja ya kuanza mchakato wa kikatiba wa kumvua ujaji, Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, jaji Frederick Werema.
Mbali na dhamira ya kutaka jaji Werema avuliwe ujaji pia, Zitto amesema kamati yake itapendekeza watu wote waliohusika katika kashfa ya wizi wa akaunti ya Tegeta Escrow, wachukuliwe hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufilisiwa mali zao.
Zitto, alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na Tanzania Daima Jumapili, kuhusu sakata la Escrow linaloendelea hivi sasa.
Majibu ya Zitto yalitokana na maswali ya gazeti hili yaliyotaka kujua hatua zitakazopendekezwa na kamati yake baada ya kukamilisha kazi ya kupitia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali(CAG), juu ya akaunti ya Tegeta Escrow.
Alisema kimsingi kilichofanyika katika tukio hilo ni zaidi ya wizi wa kawaida na kwamba wahusika ni vema wakafilisiwa mali zao kisha wachukuliwe hatua nyingine za kisheria.
Suala hili sio wizi wa kawaida bali ni money laundering. Kwa hiyo kufilisiwa ili kurejesha fedha hizo ni hatua nyingine itakayopendekezwaalisema Zitto.
Alisema hatua hiyo itakuwa ni fundisho kwa wengine huku akikumbushia matukio ya wizi wa fedha za Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje(EPA) na sakata la kampuni ya kufua umeme wa Richmond.
Alisema kamati yake bado inaendelea na kazi na kwamba walichogundua ni kuwa fedha zilizokuwa katika akaunti ya Tegeta Escrow zilikuwa za umma na kwamba kampuni ya Pan Africa Power Resources (PAP) hawakuwa na uhalali wa kuchukua fedha hizo.
PAC bado inaendelea na kazi. Watu wote ambao wamehusika katika wizi huu tutapendekeza wawajibishwe na kuchukuliwa hatua za kisheria.alisema
Chanzo Tanzania Daima