Ushauri wa bure kwa Mhe. Lowassa: Ili kuilinda Heshima yako, Jiondoe kugombea NEC ya CCM!

Ulikuwa wapi kumshauri kabla hajatangaza nia ya kugombea?Pili kama wewe Ni shabiki wake ujumbe huu unge M-PM.

Unapima upepo!:nono:au unataka bidae useme ulitabiri kuwa atashindwa?
 
Kwa sasa hali ilivyo c.c.m hakuna wa kuzuia tsunami kiitwacho Lowasaism,afu wanabodi tunakosea sana kumlinganisha lowasa na dhaifu membe,au mnafiki sita kwa kufanya hilo tunamshushia El heshima hasa likija swala la utendaji na mamuzi,nec ijayo membe atatetewa na wawili tu mke wa jk,na mwanae riz.
 
Kwa sasa hali ilivyo c.c.m hakuna wa kuzuia tsunami kiitwacho Lowasaism,afu wanabodi tunakosea sana kumlinganisha lowasa na dhaifu membe,au mnafiki sita kwa kufanya hilo tunamshushia El heshima hasa likija swala la utendaji na mamuzi,nec ijayo membe atatetewa na wawili tu mke wa jk,na mwanae riz.
 
jamani elimu inasaidia sana kwa bahati nzuri nimeanza masterz leo mlimani uchambunzi wa kitila mkumbo umenipa nguvu na kuzidi kuamini elimu ni zaidi ya yote,tusomeni kwa makini uchambuz wa k.mkumbo,naomb nikupe big like big like.
 
Sasa mbona unajitetea kuwa hujala visenti vyake...huoni kwa wenye fani zao wanaelewa wewe ni wale wale?
Lowassa ana dalili kubwa ya kuanguka monduli....subiri kishindo kikuuu

Watu wa Monduli wanamuabudu Lowassa sio rahisi wamtose, huyu mzee ana mbinu kama za nyoka pale unatabiri anaanguka huwa anaibuka sio rahiso kummaliza huyu fisadi!!
 
Mkuu Pasco, heshima kwako.
Kwa namna ulivyomalizia hapo kwenye namba 10, unaelewa kabisa kuwa kwa namna yeyote hataondoa jina lake, hata kama akiupata ushauri wako huu, kwa hiyo mimi naona ni kama ushauri huu umeutoa 'kuweka rekodi sahihi' mahali!! Maana come what may, wewe ndiye utakayekuwa mshindi!!

Ona hizi scenario:

1. Akijitoa ugombea NEC - Utasema atakuwa amesikia ushauri wako!!
2. Asipojitoa na CCM wakamkaanga - Utasema ulitabiri anguko lake!!
3. Asipojitoa akapitishwa NEC na CC - Ndo tayari 'ulishatabiri' kuwa ndio 'rais ajaye'

Mkuu, yetu macho na masikio!
 
African politics, almost always revolving around personalities instead of policies.

mkuu nadhani hata ikiwa kama unavyotaka "Policies and not personalities" si sahihi hata kidogo! nadhani personalities and Policies should be our anthem!(sijui nimeeleweka kwa kidhungu changu cha kuunga?)
 
Mimi na Pasco tuna share vitu viwili tu; Utaifa (wote Watanzania) na imani dhidi ya Lowassa. Kwamba ndani ya CCM sio Magufuli, Sitta, Membe au Sitta...Ni Lowassa pekee ambaye ni kiongozi.. Tunapotofautiana..Pasco hana Chama mimi ni mwanachama wa Chadema. Tuendelee na mjadala
 
Last edited by a moderator:
Pasco, Situation ya Sumaye kule Hanang ni Tofauti kabisa na ya Monduli kwa EL. mie mwenyewe personally namkubali Lowasa na ninamwona ni right candidate wa kutuongoza coming 2015. Sumaye amakuwa nje ya Ulingo wa siasa tangu mwaka 2005 alipoacha ubunge na kutaka urais, baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha urais na mtoto wa Town JK akaenda kusoma staes, Muda wote huo nagu alikua anafanya mambo Hanang, Anaongeza watu wa aina zote kwa mhujibu wa Mchambuzi, Fans, Supporters and Followers. Thus why yule mzee kule kapigwa chini na with No doubt am sure mahasimu wa kisiasa wa Sumaye wanaweza wakawa walihusika kumsupport Nagu in way or another akiwemo EL.

Kwa upande wa Monduli yule mzee kule kwake, yupo ever since na nina uhakika atashinda kwa asilimia mingi sana. So mie namshauri mzee lowasa asijitoe, Ila aonyeshe u nguli wake katika siasa za Bongo kwa kuwashinda Monduli na hapo atakua ameanza kuwasha Overtake indicators kwa mahasimu wake kisiasa.

Conclusively ni kuwa Edward Ngoyai Lowassa atashinda Monduli na atawashinda wapinzani wake katika kupitishwa na chama chake CCM katika kugombea Urais.
 
Kumbe Pasco yuko mbaali sana na Lowasa na mambo yake. Kuna watu nchi hii majimbo/wilaya ni mali zao. walikwisha jibinafsishia siku nyingi hadi wafe:
-Lowasa na Monduli;
-Mkono na MusomaVijijini/Butiama;
-Chenge na Bariadi;
-Kikwete na familia yake na Bagamoyo;
-Msuya na Mwanga;
-Mwandosya na Rungwe;
-Dr Slaa na Karatu;
-etc., etc.
Hawa jamaa ni TAASISI kule kwao. Watachaguliwa wao au watu wanaowataka wao.
 
Hili ni kweli kabisa. Waarabu walililea hili sasa wanaliondoa kwa gharama kubwa sana. Badala ya kujenga taasisi na asasi zenye nguvu tunajenga au tunawaacha watu wajijenge wao.
 
Panga pangua Fisadi Nguli Edward Lowassa lazima atashinda tu ujumbe wa NEC.

Haya anayoleta Pasco ni vitisho tu vya kupima upepo wa Lowassa hasa kutoka kwa wapambe wake.

Jaribio pekee kubwa na la mwisho viongozi wa CCM walilojaribu kupima nguvu ya Lowassa lilikuwa ni kura za maoni jimbo la Arumeru Mashariki pale walipotaka kumwondoa Sioi Sumari lakini walishindwa vibaya.

Hivi Pasco unajua ni nani yuko nyuma ya mpango wa Mary Nagu kumshinda Sumaye?
 
Pasco, umetoa ushauri ambao ni irrelevant kiasi kwamba utafikiri haumjui kabisa Lowassa kisiasa. Kwa kifupi, Lowassa is Monduli and Monduli is Lowassa. The same is applicable to CCM. The man is so powerful and influential in our politics. Time will tell...
 
Aah pasco kwa mizaha!Mie huwa nasoma tu halafu sisemi kitu sijawahi kudhani kuwa kweli unataka Lowasa awe presidaa!If that happens Iam looking forward to leave the country!Lowasa the President?Iam going to Rwanda,Botswana or anywhere I can tolerate to hear tht!Poor me "I got no strong reasons for tht, I just hate the guy"
 
Pasco!
Hao waliopitishwa kupimana nae ubavu mbona walikuwa kwenye mchakato wa ubunge na aliwapiga chini naye ndiyo alipeperusha bendera ya CCM kwenye hicho kinyang'anyiro.Hivyo kama itatokea kubwaga wala haitokani na kwamba ametegwa bali itakuwa kushindwa na upepo kupita.
 
kuna pahala ulirepply comment yangu kwa kuweka maneno au msem huuu "I fear the Greeks, especially when they bring gifts"

Nikiri tu kwamba ksikukuelewa kutokana na my language limitation,lakini kiufupi nilikua nikikufuatilia kwa muda mrefu sana kujaribu kujua ujasiri wa kuamini kiasi kile kwamba lowassa naweza kupitishwa na ccm kugombea urais unauotoa wapi,nilikua nafanya hivyo kutokana na kujuana na watu wengi wa kambi ya lowassa ukiacha mzee mwenyewe ambae toka mwaka 2011 uanze imekua ni ngumu sana kuonekana sehemu alizokua akipatikana mara kwa mara nyakati za weekend ama jioni on weekdays baada ya kazi,na wote walikua ni watu waliokata tamaa wakionyesha kuitemea zaidi mbeleko ya mwenyekiti.

Mahali pekee walipokua wanapategemea na tena nikiri walipambana kiume kweli kweli ilikua ni kwenye ule mkutano wa NEC wa kujadili uvuaji wa magamba ambapo ukiacha upambanaji wao ndani ya chama walinunu magazeti yote yakiwemo ya adui namba mojawa lowassa sitaki kumtaja kwa kuepusha fitna.

Kiukweli pale jk alitumia ototo wamjini tu na pia shukrani pekee zimuendee Mh.kinana,alifanya kazi kubwa sana aginst Lowassa na genge lake kuhakikisha NEC haijadili ile hoja bali inatoa kibali kwa suala lile kupelekwa kamati kuu(kamati ya maadili)ambayo wajumbe wake wote si watu wa lowassa kabisa.

Lile lilikua bonge la pigo na kwenye akili walijua ndio yametimia upande wa lowassa akiwemo yeye mwenyewe,na akawa mtu wa mawazo sana huku akizidisha mara dufu unywaji pombe kali licha kukatazwa na Dk.wake,hatimae na wewe Pasco sasa umeelewa.

Lowassa au yeyeote ni ngumu sana kupitishwa kuwa mgombea urais bila mbeleko ya chairman,habari ndio hiyo ngoja niishie hapa mengi tuliyasema huko nyuma.
 
Back
Top Bottom