sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,896
- 5,302
Sasa mkuu kipato hakiruhusu wakati unalipwa mahela kibao kwa ushauri, poa lakini nazidi kukuheshimu coz tayari nasikia Sumaye keshaangukia pua huko nyumba ndogo so usahauri wako si wakupuuzia, hembu mshauri na Zito naye.Mkuu Saint Ivuga, jukwaa hili pia kumbe huwa unatembelea?, nimekozoea kule kwako!.
Du graduation ya yupi, jumla ninao 6, nimehudhuria graduation ya mmoja mdogo kamaliza chekechea, anakwenda kuanza la kwanza, nikahudhuria ya mwingine kamaliza la saba hizi shule zxetu za Kayumba, anasubiri kuchaguliwa shule ya kata aanze form one!, pia nimehudhuria ya mwingine kamaliza form 4 hizi shule zetu za kata, wengine wawili pia nao wako sekondari hizi hizi za kata!, nilitamani sana wanangu nao wasome hizi shule za academy, ila kipato chetu sisi waandishi hakiruhusu!.