Ushauri wa bure kwa JK na CCM

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Alipokuwa anajiandaa kuwania kiti cha PM nchini Uingereza Tony Blair alisisitiza kukifanyia maboresho chama chake cha Labour. Kwa ahadi hiyo alishinda uchaguzi kwa kishindo kwa viti 179. Ushauri wangu kwa JK ni kuwa, aifanyie CCM mabadiliko makubwa. Atafute watafiti kutoka makampuni makubwa ya utafiti ikibidi kutoka nje, wanaharakati na wasomi wamsaidie namna ya kuunda NEW CCM. Ninaamini, bado CCM wana nafasi ya kufanya vema zaidi iwapo tu watajivua gamba walilonalo maana limechakaa. Nina maana wafanye REJUVINATION
 
we ni mnafiki na ni kada we ccm, mfuate ikulu ukamwambie, huo upuuzi, we unamjua kikwete vizuri? Ye ndio mshabiki wa makundi na mpenda visasi, kakutana na makamba waluwalu mwenzake utawashauri nini?huyo makamba ndio maana mwalim nyerere alimtandika vibao alipokua katibu tarafa.
 
Back
Top Bottom