Ushauri wa bure kwa form six waliomaliza na wanaotarajia kujiunga vyuoni kuhusiana na UDOM

College of education ya udom iko vizuri sana,bt hzo colleges nyingne kama humanities na informatics nimeckia mara kwa mara zikilalamikiwa hata na wanafunzi husika wanaosoma hapo,bt icwe sababu ya kuwakatisha watu tamaa humu jaman.

Kuna jamaa zangu wanasoma UDOM MA za development studies na Human resouces, wanajuta kwanini walikwenda kusoma UDOM. Wanasema kwanza wanafundishwa na walimu wenye master na sio Doctors, hawana experience- not professional hawajawahi hata kuwa consultants kwenye hizo fields yaani ni weupe peeee! wale tutlisoma vyuo vya maana mtu akiitwa mweupe nahisi mnanipata! Ebu tusi puuze jambo hili tunaomba utafiti wa kina ufanyike tusije jutia muda na raslimali zinazotumika huko UDOM hapo baadaye!:shock:
 
Back
Top Bottom