mi sikusoma udsm bt naona wazi udom ni chuo cha kisiasa na kibovu sana,kuna wakat ofisi yetu inaendesha interview watoto wa udom wa bcom wakawa wakiulizwa masuala ya bness law wanasema wamesoma bcom tu,wakiulizwa kuhusu taxation wanadai wao hawasomi kodi,sijui ni aina gani ya wahasibu wasiojua components za kihasibu...ofisi ikapiga marufuku kupokea watu wa udom! chukua hatua!
Jamani udom iko poa isipokuwa Business courses tu hivyo wengine karibuni. Business wana lecture ambao wanaferisha sijui kisa totorials mfano mwaka huu Financial management 1 yenye wanafunzi 800 kuna A moja B+ tatu C$B Miambili wengine wote Supp
mi sikusoma udsm bt naona wazi udom ni chuo cha kisiasa na kibovu sana,kuna wakat ofisi yetu inaendesha interview watoto wa udom wa bcom wakawa wakiulizwa masuala ya bness law wanasema wamesoma bcom tu,wakiulizwa kuhusu taxation wanadai wao hawasomi kodi,sijui ni aina gani ya wahasibu wasiojua components za kihasibu...ofisi ikapiga marufuku kupokea watu wa udom! chukua hatua!
Umesoma historia ya Eng. ama umefanya Eng.,? Tuwekane sawa pleaz!
Coz wanasema Africa watu wanasoma historia ya Eng. ,hawasomi wawe ma Eng.
Ndio product za UDOM hizo, kweli pale ni zaidi ya Utumbo.
ndugu yangu ukisema UDOM hakuna siasa unapotosha uma kabisa acha kutudanganya wanafunzi wa UDOM tupo nao kila siku na wengi wapo makazini walioitimu udom ni wasumbufu sana na hawafai embu pima wewe mwenyewe ufanisi wako wa kazi japo kimoyomoyo then uniambiee udom hakuna elimu pale ni bora liende tuMm ni mhitimu wa udom mwaka jana,pale uongozi ndo mbovu ila suala la taaluma hakuna shida pia wanaosema pamejaa siasa wanapotosha.Kumbukeni pia ubora wa product upo kwa mhitimu mmoja mmoja hata ukiwachukua wahitimu wa udsm uelewa utatofautiana mm kama mm najiamini kwa elimu niliyoipata udom ndiyo maana nimeweza kujiajiri kwa kufuata misingi ya elimu niliyoipata pale.Ushauri wangu ni kwamba serikali ibadili uongozi wa juu la sivyo patakuwa na migogoro kila siku na pia wanafunzi watambue majukumu yao ipasavyo na siyo kuendekeza starehe.pia waajiri tizameni uwezo wa mtu binafsi wa kutranslate alichosoma na reality na siyo gpa au chuo alichiosoma
tena ni utumbo mkubwa embu angalia wateteaji hata pointi zao hazijakaa kisomi kweli taifa linaangamia hiliNdio product za UDOM hizo, kweli pale ni zaidi ya Utumbo.
Kwa wale vijana wote wanaotarajia kujiunga vyuoni mwaka huu nawapa tahadhari kwamba MSIJARIBU KUJIUNGA NA CHUO KUKUU CHA UDOM kwani ni chuo kilichojaa siasa chafu, ufisadi, ukandamizaji, wizi, elimu yenye ubabaishaji, ukosefu wa waalimu na mengine mengi machafu.KWENDA KUSOMA UDOM NI KUHARIBU FUTURE YAKO KWANI UTAKUJA KUJUTA saana baadae.Kwa ushauri zaidi waweza kuni-pm.
ndugu yangu ukisema UDOM hakuna siasa unapotosha uma kabisa acha kutudanganya wanafunzi wa UDOM tupo nao kila siku na wengi wapo makazini walioitimu udom ni wasumbufu sana na hawafai embu pima wewe mwenyewe ufanisi wako wa kazi japo kimoyomoyo then uniambiee udom hakuna elimu pale ni bora liende tu
we shoga wanafunz wa Udom Wangekuawa wabov PWC wasingekua wanakuja kila mwaka hapo chuoni kuchukua wahitimu na kuwaajiri
UDOM ni chuo cha ajabu sana Afrika mashariki na kati