Ushauri wa bure kwa form six waliomaliza na wanaotarajia kujiunga vyuoni kuhusiana na udom. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa bure kwa form six waliomaliza na wanaotarajia kujiunga vyuoni kuhusiana na udom.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by GHANI, May 5, 2012.

 1. G

  GHANI JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwa wale vijana wote wanaotarajia kujiunga vyuoni mwaka huu nawapa tahadhari kwamba MSIJARIBU KUJIUNGA NA CHUO KUKUU CHA UDOM kwani ni chuo kilichojaa siasa chafu, ufisadi, ukandamizaji, wizi, elimu yenye ubabaishaji, ukosefu wa waalimu na mengine mengi machafu.KWENDA KUSOMA UDOM NI KUHARIBU FUTURE YAKO KWANI UTAKUJA KUJUTA saana baadae.Kwa ushauri zaidi waweza kuni-pm.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Duh!ivi mnavoichafua udom kias hiki huwa mnalipwa?
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,762
  Trophy Points: 280
  Watoto bana dah!
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  UNAVYO SEMA WATU WASICHAGUE UDOM WAKATI KUNA COURSES AMBAZO ZINAPATIKANA UDOM PEKEE COURSE KAMA VILE PETROLEUM ENGINEERING, SOFTWARE ENGINEERING, INTERNATIONAL RELATIONS etc. TUNAOMBA UFAFANUZI NI FACULTY GANI NDO ZINA MATATIZO AU NA ZOTE?? By THE WAY THANKS FOR THE INFORMATION
   
 5. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Ww itakuwa una sup za kutosha udom,acha upuuzi,hakuna chuo ambacho kimekamilika kwa kila kitu n remember university siyo sehemu ya kulishwa kila kitu,jifunze utaratibu wa kusoma vitabu,kama ni kilaza hata kama ukienda university of capetown utakuwa vile vile
   
 6. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  thanks mkuuu
   
 7. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mseng..e wa kwanza ambaye hujui maana ya UDOM.Tatzo lako unadandia mambo usiyoyajua.Acha kupotosha umma.
   
 8. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mkuu naona umetoka povu jingi sana kwa thread ya ndugu hapa! Bila shaka imekuudhi kitu fulani, by the way hujawa great thinker kwasababu umeporomoka mitusi bila kutoa hoja za kuonyesha it is otherwise. Ungeonekana wa busara kwa kujustify anachokisema sio sahihi. Ni mtazamo tu kwa upande wangu.
   
 9. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  nahisi ni upepo tu unapitaaaaaaaaaaaaa
   
 10. h

  handboy Senior Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha! tuzingatie ukali wa maneno wakuu
   
 11. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  nilikutana na vijana kama wawili wa UDOM wanajua kupambanua diplomasia Za kimataifa,nimeona wako safi sawa tu na wale wakimataifa ni vijana waliopikwa kiasi cha kimataifa sasa BWANA USHAURI unapata dhambi unaua umma wote kwa mawazo yako mabaya, kwa mf.

  1. wote walio udom 20,000 stdnts -30,000 unawakatisha tamaa, lkn pia degree amabzo hazipatikani popote afrika mashariki na ukubwa wa chuo bado n kama kununua kiatu kikubwa kujaa mguuni ni kula, bado chuo kina kula na watoto wanaomaliza pale sasa wana kazi kubwa kujaza bongo zao ili zilingane na ukubwa wa chuo kikuu kama kile east africa...fuatilia mtu kama zitto huko chini alisoma shule ya kawaida sana, vijana nendeni mkasome, maneno yapo tu

  2. ulitakiwa uchambue UICHAMBUE UDOM, unanegative altitude na udom au na ccm, kat ya hayo mawili..wewe ni aina ya suicider readminded, utakuwa tayr kwa lolote !!! sasa usiambukize watoto

  3. kama ulipitia chuo chochote ujue hujapata elimu ya chuo 'kufiki kwa kina na kutoa maamuzi sahihi'

  ushauri wangu kwako, soma koz ndogo ndogo ukamilishe degree yako...degree inaweza isikamilike kwa muda mfupi ingawa inaukomo..miaka mitatu minne nk maana nionavyo mimi hujakamilika uwezo wako bado sana. katika maisha ya kusoma, shahada ni kama bushschool kwenye kufukir na kupambanua ili kutoa majibu sahihi, na ndio maana tunafanya tafiti. nakumbuka tulisoma bila mwal wa fizikia f2-4 lakini kwa juhudi binafsi mpaka engineering tumefanya.. vijana msipotoshane....punguzeni anasa..fanya anasa bali kwa vipimo maana degree yako iwe na mixer mixernajua kuna watu nitaboa sory
   
 12. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  KIDUKU Generation wanafurahisha sana aisee!!Hivi unajua unachokiandika lakini bwana mdogo?
   
 13. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thanks mkuu unajua watu wengne wanapost vitu kwa kukurupuka bila kufanya feasibility study,screening wala scoping.Ni mkumbo tu na porojo zisizokuwa na tija!.Kama Udom haifai kuwa na hadhi hyo ilipataje kibali kutoka T.C.U ili kukidh vigezo vya kuwa university?.Mbona kina maprof,ma drs na malecturer kutoka nchi za nje kibao?.Hata wale malectures wa ndan wapo qualified kama inavyotakiwa?.Atetee pumba zake na siyo kuropoka na kupotosha wananchi.Inawezekama huyu dogo ali Disco na kujitimua mwenyewe from UDOM.Udom ni chuo kizuri kama vyuo vingne popote duniani.Wanafunzi wanaotaka kujiunga wajiunge bila wasiwasi.
   
 14. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wanafunz wanakimbilia UDOM kufuata majengo na bunge. Binafsi nakidharau sana hiki chuo, ni chuo chenye koz nying lakini kina waalim wakubebwa au wasiojiweza kitaaluma na wanaburuzwa na CCM, wanachuo wanafikira pevu kuliko walimu wao, Kwa kweli ndgu yangu au mtu anayethamin ushauri wangu hawez kwenda UDOM.
  Chuo jina kile no content
  Japo najua 20yrz later kitakuwa poa maana viongoz wake weng watakuwa wamebadilika.
   
 15. G

  GHANI JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  tatizo kubwa linalowasibu vijana mliopo udom, mnachanganywa na majengo wakati kichwan hakuna kitu, kwenye usanisi wa kazi vijana waliosoma udom ni wabovu sana, kuna hata baadhi ya mashirika yakijua tuu umesoma udom wanaku-discontinue bila hata kufanyiwa uhakiki.kuweni makini vijana na acheni kukurupuka.
   
 16. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Source?.Kama huna source toa taarab yako hapo.Tena hueleweki coz unawapotezea muda ma great thinker kuperuz na kudadis mambo ya msingi na mwisho unajaza thread zisizo na tija kwa kuwapotosha watanzania.Sasa sema ni chuo gani kpo bora zaid zaid ya UDOM ACHILIA MBALI UDSM MAANA NAYO TWAIJUA SIRI ZAKE!
   
 17. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wakati mwingine tuiangalie shillingi kwa pande zake zote mbili. Labda huyu ndugu aliyeanzisha mada hii ama anasoma UDOM lakini ndio wale wale waliozoea ubwete huko walikotoka. Ni kweli ayasemayo lakini alipaswa kutoa whys za kwa nini vijana waombe au wasiombe.

  ROMA haijajengwa kwa siku moja, Na zipo sababu za kwa nini hiyo Roma haijajengwa kwa siku moja. Na UDOM pia yawezekana ni vivyo hivyo. Yapo mapungufu kadhaa kwa chuo hiki, lakini pia zipo faida zake.

  Huyu mtoa mada alipaswa kueleza pande zote mbili ili sasa muombaji apime.

  1. inategemea mwombaji anataka asome nini, kwani unapozungumzia UDOM unazungumzia kapu kubwa ambalo ndani yake kuna vitu vingi, ndani ya UDOM zipo college sita ambazo zinajitegemea kabisa, zipo mbalimbali sana na hazitegemeani kabisa. Mazingira ya college moja sio sawa na ya college nyingine, hata mapungufu na mazuri ya college yanatofautiana kabisa.

  Kwa kifupi, mtoa mada alitakiwa kutaja ni college gani ina mapungufu fulani, na mazuri yake fulani. Kusema tu kuwa UDOM haifasi sio jambo la busara sana kwani hata hivyo mambo ya uongozi hayadumu milele, mifumo inabadilika na labda ni suala la wakati tu litabadilisha fikra zake.

  Tusubiri tuone........
   
 18. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Jamani nimechagua huko,Bachelor of science in Maths. Sasa mbona hivyo? KIDUSII,unanitisha ujue! Embu funguka zaidi useme tatizo ni nini ili tujue?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280

  nilimkuta mwalimu mmj wa shule ya serikali DSM analalamikia wanafunzi wa UDSM akisema udom ni walimu bomba kuanzia nje ndani...bado udsm so wote wachovu pamoja na ukongwe na udom si wote pia ndo mana wengine wandisco..kikubwa ni kuwa maneno yenye rangi hapo juu ya msingi sana hata walimu wa kozi, yaani degree program si sawa,
  kuna course mbalimbali pia, wahitimu wengi wanameneji miradi ya kimataifa nenda UNHABITAT wapi nenda UNFP wapo

  huyu kijana hana degree kwa hiyo hajui anachotolea arguement, nimemshauri arist apate degree,zipo tu tena bure
   
 20. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  kumbe unapenda majina ya kozi.. Wewe ni janga
   
Loading...