Ushauri wa bure kwa chadema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa bure kwa chadema.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Mar 11, 2012.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,330
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Chadema as a self appointed political analyst nawaomba mutumie muda mwingi kuzungumzia issue zinazomgusa mwananchi za kila siku ambazo CCM inapata wakati mgumu sana kuzijibu.

  naomba muweke focus yenu kwa kuangalia matatizo (kitchen table issues)yanayomzunguka mkulima mdogo, mfanyabiashara mdogo na wazee wetu ambao hawana msaada wowote. angaliaeni issue za maji, umeme, kupanda kwa gharama za maisha hasa mkazie kwenye bidhaa muhimu za chakula, huduma mbovu za afya na hasa swala
  la viongozi kwenda kutibiwa India wakati wananchi wa kawaida wanakufa kwenye hospitali za mbavu za mbwa.

  Eneo la kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na mlipuko wa shillingi ni eneo ambalo linagusa mfuko wa mtu moja kwa moja karibu kila siku ya Mungu kwahiyo ni rahisi ujumbe mzuri ktk eneo lazima ataukumbuka kwenye chumba cha kupigia kura. akikisha mna connect ugumu wa maisha yanayowakabili wananchi na sera mbaya za CCM na ushahidi
  mzuri wa kufeli kwa sera za CCM ni ongezeko la idadi ya masikini kila kukicha.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Concern and advice noted. Je unadhani hawayajui haya mambo?
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,332
  Likes Received: 3,541
  Trophy Points: 280
  Ushauri mzuri...

  Kama una nafasi washauri na magamba waache kuifisidi nchi yetu
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,709
  Likes Received: 8,507
  Trophy Points: 280
  Umesema mambo mazuri, Askari kwenye uwanja wa vita hawabishani, wanatekeleza hujuma fasta kumchanganya adui, hili la ugumu wa maisha likitumika vizuri litatupatia kura nyingi sana za wazee na akina mama ambao wanasuasua kupanda ndege ya ukombozi (chadema)
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,956
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 180
  Hayo ndiyo yalikuwa kipaumbele ya Makamanda jana kwenye uzinduzi
   
 6. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 940
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Bila kusahau elimu ilivyo dorola tena kwa suala la elimu linawagusa sana watu wa kaskazini maana wanausongo sana wa kusomesha watoto wao.
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,709
  Likes Received: 8,507
  Trophy Points: 280
  swali lako linaonyesha unapenda kupiga domo, ungeiboresha idea ingefaa zaidi kuliko kufikiri timu ya kampeni inajua kila kitu. kama unaamini kuwa wewe ni sehemu ya ukombozi wa nchi, changia uelewa wako na wapigania ukombozi wenzako bila kudharau wazo lako jema lolote.
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Nampenda sana Slaa...kila akipewa uwanja wa kuongea anachokijua ni ufisadi tu!!
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Ndicho kilichotufikisha hapa
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Ndio ufisadi ndo mtaji..kilimo kwanza kila siku naona matrekta na mapower tiller ya misaada..mi mkulima wa arusha sijawahi ona..si ndo ufisadi?
   
 11. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,709
  Likes Received: 8,507
  Trophy Points: 280
  ulitaka ahimize watu wawauze twiga eeeh!
  sore! kaka mdomo wako unatoa (harufu mbaya)
   
 12. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  naunga mkonoo hoja na napenda kuelezea kuridhishwa na hotuba za viongozi wa juu wa cdm jana aru zenye muelekeo wa ukomavu wa kisiasa na zenye lengo la kuwaweka pomoja wana arumeru wakati huu wa kampeni. BWOWE, ZITTO NYERERE NA NASSARI WALIONYESHA UKOMAVU MKUBWA SANA KATIKA KUJENGA HOJA . NA WANAARUMERU KUPITIA WINGI WAO KTK MKUTANO JANA WANAONYESHA KUWA TANZANIA SASA MABADILIKO NI LAZIMA. Go cdm go!
   
 13. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  rumeru na Arusha Mjini ni majiran, wanashare mambo mengi saana, sioi yatamkuta ya Baltida
   
Loading...