Idadi ndogo ya wapiga kura waliojitokeza Igunga imenisikitisha sana ukilinganisha na jinsi mikutano ya kampeni ilivyokuwa inajaza watu, naishauri CHADEMA kuhamasisha wafuasi wake kutoa somo la uraia kuhusu umuhimu wa kujiandikisha,hili linaweza kufanywa wakati wa kuboresha daftari la wapiga kura, wafanye operesheni hamasisha kujiandikisha vinginevyo tutaendelea kulialia tu,ndiyo huenda CCM wanaiba kura, lakini kama wapiga kura wa CHADEMA ni wengi hata huo wizi itakuwa ngumu,vijana wengi ambao ndio wafuasi wa CHADEMA hawana shahada za kupiga kura,wazee na akina mama wengi wako CCM,we need to act not keeping crying....