Ushauri wa bure kwa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa bure kwa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jack Beur, Oct 4, 2011.

 1. J

  Jack Beur JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Idadi ndogo ya wapiga kura waliojitokeza Igunga imenisikitisha sana ukilinganisha na jinsi mikutano ya kampeni ilivyokuwa inajaza watu, naishauri CHADEMA kuhamasisha wafuasi wake kutoa somo la uraia kuhusu umuhimu wa kujiandikisha,hili linaweza kufanywa wakati wa kuboresha daftari la wapiga kura, wafanye operesheni hamasisha kujiandikisha vinginevyo tutaendelea kulialia tu,ndiyo huenda CCM wanaiba kura, lakini kama wapiga kura wa CHADEMA ni wengi hata huo wizi itakuwa ngumu,vijana wengi ambao ndio wafuasi wa CHADEMA hawana shahada za kupiga kura,wazee na akina mama wengi wako CCM,we need to act not keeping crying....
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Taken fully and intact!
   
 3. B

  BUBERWA D. JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 444
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  ushauri wako ni mzuri sana
   
 4. O

  Omr JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acheni UDINI,BANGI na FUJO, mtapaka baadhi ya wazee na kina mama. Mambo ya tindikali,ubakaji ni vitu vinapingwa kabisa na hao wazee na kina mama.

  Na ushauri wa muhimu kabisa, Tafuteni nguo za maana za kuvaa, hii ya magwanda ni upumbavu tu.
   
Loading...