Ushauri wa bure kwa ccm jaribuni kuwa na government spokes person | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa bure kwa ccm jaribuni kuwa na government spokes person

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbeu, Mar 14, 2011.

 1. Mbeu

  Mbeu Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali hii ina sikitisha hamna utaratibu maalumu wa kuongea na wananchi, mada ni moja lakini kila waziri anaropoka anachofikiri ni sahihi. mfano waziri Membe kazungumza lake kuhusu Chama fulani kufadhiliwa na Balozi at the same time anakurupuka waziri (SS) mwingine anataja chama Kwa jina. please CCM naomba muwe na utaratibu wa kuwa na GOVERNMENT SPOKES PERSON, maana mna chafua HALI YA HEWA na uropokaji wenu Behave!
   
 2. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,053
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Ndo raha hiyo!! Waache waropoke ujinga wao ufahamike!
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hawaropoki jamani bali ndivyo walivyofundishwa na m/kiti wao
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  CCM -A vs CCM-B, Pinda vs Mgufuli Membe vs S.Simba Lukuvi vs Mponda Lowasa, Sumaye vs UVSISM.
  Wasira vs mkwere
  Hoja moja nani awe msemaji mkuu? Pasua kichwa "PK" hao achana nao
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  i wish Mwalimu nyerere angekuwepo.
   
 6. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Umeongea aroo
   
 7. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,473
  Likes Received: 1,212
  Trophy Points: 280
  jukumu ni la makamba
   
Loading...