Ushauri wa Bure juu ya gari yako

Hahaha nimecheka sana
Dah, huu uzi unadhihirisha kiasi gani watanzania tunaendesha magari mabovu aisee. Magu aangalie namna ya kulegeza kodi watu wanunue gari zikiwa walau na miaka 4 toka zitoke kiwandani.

Hii mitumba ya magari ya miaka 10 iliopita ina tabu sana!
 
Kwanini taa ya Cheki engine inawaka pamoja na kuwa nimeshabadilisha kila kinachohitajika kwa mfano censa(sina hakika na spelling) engine pia iko sawa according to maelezo ya fundi,,,,,,msaada please
 
Natumia Suzuki escudo, gari ni nzito sana pia kwenye mlima haina speed kbsa mwisho ni 40 pia inavujisha hydrolik ...shida ni nin mkuu
 
Mkuu sijamwaga oil mda mrefu sana ya injine na gia box kwa sababu gali mda mwingi inakuwa imepaki vipi linaweza kutokea tatizo gali ni ndogo automatic
 
Mkuu sijamwaga oil mda mrefu sana ya injine na gia box kwa sababu gali mda mwingi inakuwa imepaki vipi linaweza kutokea tatizo gali ni ndogo automatic
hakuna tatizo lakin lazima ufanye daily checkup ya engine oil na maji pindi utakapoanza kuitumia so far hakuna shida yoyote ya msingi kuhusu engine oil isipokuwa kama uliweka zile feki zinazogandaga zikikaa kwa muda nakushaur pia ata kama umepaki jaribu kuwasha gar na kuliacha idle kwa dakika kama 15

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Dah, huu uzi unadhihirisha kiasi gani watanzania tunaendesha magari mabovu aisee. Magu aangalie namna ya kulegeza kodi watu wanunue gari zikiwa walau na miaka 4 toka zitoke kiwandani.

Hii mitumba ya magari ya miaka 10 iliopita ina tabu sana!
Acha ujinga we dogo. Hayo mbona bado mapya kabisa? Mi nasukuma mlandrover 109 wa kurithi umetengenezwa 1978 na nawaanua mabinti wakali tu mjini hapa...

Bush kule nasukuma Toyota Stout nabebea mbege na maparachichi msimu wa Xmas na sijawahi kupata ajali yoyote...
 
Acha ujinga we dogo. Hayo mbona bado mapya kabisa? Mi nasukuma mlandrover 109 wa kurithi umetengenezwa 1978 na nawaanua mabinti wakali tu mjini hapa...

Bush kule naaukuma Toyota Stout nabebea mbege na maparachichi msimu wa Xmas na sijawahi kupata ajali yoyote...
Hahahahah we kweli mu hanger mkuu. Unapush mandolin mjini
 
Gari yàngu spacio nikikanyaga brake au ikiwa kwenye park au revise gear garinina vibrate tatizo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mount zinazotenganisha engene na body LA garii zitakuwa zimeisha kwahio engine for somehow inagusa body ndo màana linashake kacheki kwa fundi au brake disks au Rotors zitakuwa zimetumika sana ile surface inakuwa haipo level.
 
Back
Top Bottom