Ushauri wa bati bora,gharama nafuu,kwa uharaka zaidi

May 20, 2016
25
6
About Big one enterprises


Bigone logistic inakupa suluhisho la kupaua kuanzia ushauri
wa kukupigia hesabu mabati mangapi yanahitajika katika nyumba yako kwa njia ya ramani au kufika site kwako bila gharama yoyote,ushauri wa bati gani bora kulingana na budget yako,utaletewa bati mpka site kwako maana baada ya kununua hakuna gharama za ziada

Tutakufuata popote pale uwe officene au site kwa ajili ya kushauriana,kukupa uchaguzi wa kipi bora kwa wateja wa hali zote na mahitaji yote,pia tuna mafundi wa gharama nafuu za upauaji zaidi ya watano utakayeridhika na cotation zake.

Tunakupa zaidi ya unachohitaji,zaidi ya kiwanda,zaidi ya agent,unatupa kazi unasubiri mzigo, gharama za ziada hakuna baada ya kununua .
52bfc39192217df9e69b1d788893ab65.jpg
98c4694b7e06653416915ac5e15f8118.jpg

f083276f620dd7234e6789d94c853125.jpg
 
Kupata bati za rangi ni shughuli kubwa; unaezeka nyumba inang'aa mtaa mzima, baada ya miezi kadhaa kila bati linakuwa na rangi yake. Je mnazalisha bati za viwango hivi vibovu ambazo ndizo zinauzwa mahali pengi jijini Dar?
 
Back
Top Bottom