hii ni kutokana na posti zilizo nyingi za hawa wanaojiita wafia Chama ingawa kwa malipo kiduchu, Mara nyingi kuposti mada ambazo hata hazina mashiko ili mradi tu kuhakikisha wameposti idadi fulani kwa siku kwa lengo la kujihakikishia buku saba. najua Chama x mpaka kuwaajiri kina Malengo mkitangaze au kueneza propaganda zitazopelekea kukubalika kwa Chama hicho. lakini ninachoshuhudia Mara nyingi katika posti zenu ni mada za kijinga na zisizo na mashiko. hivyo nashauri February aandaee seminar elekez juu yenu, vinginevyo buku saba itakuwa inapotea bure.