Ushauri: Uume kisimama ovyo

chrisno

Senior Member
Mar 25, 2015
117
16
Habar wanaJF

Natumain mu wazima wa afya njema
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, tatizo langu kubwa ni kutokana na tabia ya kudindisha ovyo ovyo pasipo kujali mazingira na sasa yapata miezi 3 kuonekana kwa hali hii.

Je, huu ni ugonjwa? Je nifanyaje ili kuiondoa hii hali? Mwenye upeo kuhusu tabia hii. Msaada wanaJF.

Nawasilisha asante!
 
Tafuta kiburudisho kesha mkisuguana kwa angalau usiku mmoja. Ikijirudia tena baada ya hapo ni pm!
 
habar wanajf.natumain u wazima wa afya njema
mm ni kijana mwenye umr wa miaka 23 tatizo langu kubwa nikutokana na tabia ya kudindisha ovyo ovyo paspo kujali mazingira na sasa yapata miez 3 kuonekana kwa hari hii
Je, huu ni ungonjwa?
je nifanyaje ili kuiondoa hii hari?
mwenye upeo kuhusu tabia hii.msaada wanajf.
Nawasilisha asante!

Mmmmh kumbe tuko wengi wenye hii kitu.
 
habar wanajf.natumain u wazima wa afya njema
mm ni kijana mwenye umr wa miaka 23 tatizo langu kubwa nikutokana na tabia ya kudindisha ovyo ovyo paspo kujali mazingira na sasa yapata miez 3 kuonekana kwa hari hii
Je, huu ni ungonjwa?
je nifanyaje ili kuiondoa hii hari?
mwenye upeo kuhusu tabia hii.msaada wanajf.
Nawasilisha asante!

acha kuwaza mapenzi ovyoovyo kuwa bizze na mambo yak sio ukiona sket tu bac unahamisha mawazo....!
 
Ni hali ya kawaida kudindisha, inawezekana umekula vyakula vinavyoongeza hamu kusugua kisima cha nyama!

Siyo ugonjwa!
 
Kilaza kweli ww........ngoja iache iwe inasimama mara moja kwa wiki ndo utajua hilo ni tatizo ama la.
 
Habar wanaJF

Natumain mu wazima wa afya njema
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, tatizo langu kubwa ni kutokana na tabia ya kudindisha ovyo ovyo pasipo kujali mazingira na sasa yapata miezi 3 kuonekana kwa hali hii.

Je, huu ni ugonjwa? Je nifanyaje ili kuiondoa hii hali? Mwenye upeo kuhusu tabia hii. Msaada wanaJF.

Nawasilisha asante!
Ukitaka Uume wako ulale fanya hivi kula kidogo chumvi mdomoni kisha kwenye (nguyu) fundo 2 za miguuni mwako jipige mpaka usikie maumivu uume wako utalala. Mkuu chrisno Jaribu kisha utanipa feedback.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom