Ushauri ushauri unaitajika

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,353
2,216
Mitsubishi rosa 4m51 namba zake ni drp.

1. Gari hizi huwa na changamoto gani hasa kwenye injini?
2. Je ni gari nzuri kwa biashara. Mfano kutoka manyoni hadi dom mjini. Km 240 go and return
3. Mafundi wengi wanasema injini yake huwa ni shida sio gari nzuri kwa mtu anaye anza biashara ya mabasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom