zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,036
- 28,682
Utaratibu wa katiba kufuatwa??? Ssa kma utaratibu haukufuatwa si kosa ni la muanzilishi wa ukawa professor lipumba ama ??? Lipumba ndio alianzisha ukawa kwa minajili ya kudai katiba mpya alipoona mchakato hauendi kma alivyofikiri akaona ashawishi wanaUkawa wote wasusie na ndio kilichotokeaUnarudia hekaya zilezile, hazifuti ukweli yote hayo yalifanyika bila taratibu za kikatiba kufuatwa ndiyo maana Maalimu Leo anakwama sababu huo UKAWA hauna mashiko kisheria ulikuwa uhuni wa kutafuta kuingia Ikulu. Unayoyaona ni madhara ya UKAWA usio meno
Walipoenda kibandamaiti baada ya kutoka bungeni... lipumba alisema watashirkiana mpaka uchaguzi mkuu ili wakimtoa ccm ndio walete katiba mpya sasa je ukiangalia hapo hayo yote maalim anahusika wapi ??? Mbona kma tulikosea kuibadili ukawa kuwa chama cha siasa usimlalamikie lipumba ila lawama unarusha kwa maalim???
Pia unasema muungano hapo kisheria..... nakumbuka mnyika alipeleka hoja kuhusu katiba iliopo kufanyiwa mabadiliko machache kuwezesha uchaguzi mkuu kufanyika maana ilikuwa wazi katiba mpya isingekuwa imepatikana.... sasa makinda akaipoga kapuni na wapinzani walipokuja juu akaishia kuwatimua je wwe ulitaka wafanyeje ili ukawa itambulike kisheria wakati bungeni walipigwa danadana na hta kikwete alipowaita na kuingia nao makubaliano aliishia kuwaacha kwenye mataa kuhusu makubaliano hayo !!! Je ulitaka wafanyeje???