Ushauri,:ununuzi wa gari husika

Mb-one

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
880
1,279
habari zenu wakuu..
naomba ushauri juu ya uchaguzi wa magari haya ...yani kati ya toyota corona na toyota vitz.
kutokana na kipato kidogo ndugu yangu ameamua kuniuzia kati ya hayo magari..,kwa maana ya CORONA kwa tsh mil 2 yenye namba inayoanzia na A na yenye cc1490 na VITS kwa mil 3.5 yenye namba inayoanzia na B na yenye cc990. Naomba nipate ushauri juu ya gari ipi niichukue..!!!!
Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu,mbarikiwe JF
 

Attachments

  • CORONA.jpg
    CORONA.jpg
    52.9 KB · Views: 129
  • VITS.jpg
    VITS.jpg
    41.4 KB · Views: 122
Chukua Vitz, ulaji wa mafuta ni kama pikipiki vile.

Tiba
 
Gharama za uendeshaji wa vitz na Corona ni tofauti kwa sababu ya cc. lakini pia kama hizo namba zinareflect ukweli basi corona ni ya zamani zaidi
 
inaelekea corona ni ya zamani ndio maana hata bei imekuwa ndogo ukilinganisha na uwezo yaani CC. hiyo Vitz itafaa zaidi japo cc ni ndogo kwa kuwa ni mpya zaidi
 
Haya ukinunua Vitz,mie nipe mchongo nichukue hiyo Corona.
Maana ina bei ya Bodaboda,duh.
Halafu ungeweka Kilometer,maana unweza kukuta Vitz imepindwa sana kuliko hata hiyo ya zamani.
Then mwaka wa Kuingia nchini na mwaka wa manufactured
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom