Ushauri: Ununuaji wa magari

Hi wapendwa wa JF naomba kama kuna mtu ana uzoefu wa engine za Toyota Premio yaani
1ZZ 1790cc
1NZ 1490cc ni ipi ni mashine nzuri?
 
Hi wapendwa wa JF naomba kama kuna mtu ana uzoefu wa engine za Toyota Premio yaani
1ZZ 1790cc
1NZ 1490cc ni ipi ni mashine nzuri?
Nina 1ZZ-FE (1794cc) lakini kwenye gari nyingine, si Premio. Ni injini nzuri endapo ikitunzwa vizuri, service kwa wakati. Ikizingua sana, usiogope kufanya overhaul. Kuwa makini na spark plugs, zikiwa za ubora hafifu, fuel consumption inakuwa juu.

Oil yake ni 5W30. Ukiweka oil nzito kama 20W50, fuel consumption inakwenda juu. Kwa town trips inaenda hadi 8-9km kwa lita.

Wenye 1NZ (1500cc) wanapata hadi 10km kwa lita kwa town trips na foleni zake.
 
Asante sana kwa maelezo ya kitaalamu
 
Basi, Toyota Voltz
Itakufaa zaidi. Maana ina uvumilivu wa hali ya juu sana.
Karibu uiagize kupitia Semsella Enterprises kutokea be forward uweze kupata nafasi ya kuilipia kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi saba.

Karibu sana
Bei yake inasimamia ngapi, kiongozi?

Nimevutiwa na maelezo.
 
Libaba OPAL siyo mchezo, inachagua vituo vya mafuta (wewe utakuwa na undugu wa karibu na BP tu). kuhusu spare sijajua sana ila nilishawahi kusikia watu wanasema eti vifaa vyake ni aghali.

Subiri watu wengine wachangie pia. yangu ni hayo tu
BP kwa sasa ni puma stations
 
Msaada kwa anaejua aina hii ya toyota Rav4
Model?
Mwaka?
Bei ?

toyotausa-20190728-0001.jpeg
 
Wakuu nimeagiza gari, but nahisi hela ya clearance na ushuru nitachelewa kulipa almost mwezi mzima tangu gari itakapowasili. Naombeni kufahamishwa ni nn kibaya hapo kitanikuta?
 
Back
Top Bottom