Edwine Osward
New Member
- Sep 24, 2018
- 3
- 0
Hi wapendwa wa JF naomba kama kuna mtu ana uzoefu wa engine za Toyota Premio yaani
1ZZ 1790cc
1NZ 1490cc ni ipi ni mashine nzuri?
1ZZ 1790cc
1NZ 1490cc ni ipi ni mashine nzuri?
Nina 1ZZ-FE (1794cc) lakini kwenye gari nyingine, si Premio. Ni injini nzuri endapo ikitunzwa vizuri, service kwa wakati. Ikizingua sana, usiogope kufanya overhaul. Kuwa makini na spark plugs, zikiwa za ubora hafifu, fuel consumption inakuwa juu.Hi wapendwa wa JF naomba kama kuna mtu ana uzoefu wa engine za Toyota Premio yaani
1ZZ 1790cc
1NZ 1490cc ni ipi ni mashine nzuri?
Nina 1ZZ-FE (1794cc) lakini kwenye gari nyingine, si Premio. Ni injini nzuri endapo ikitunzwa vizuri, service kwa wakati. Ikizingua sana, usiogope kufanya overhaul. Kuwa makini na spark plugs, zikiwa za ubora hafifu, fuel consumption inakuwa juu.
Oil yake ni 5W30. Ukiweka oil nzito kama 20W50, fuel consumption inakwenda juu. Kwa town trips inaenda hadi 8-9km kwa lita.
Wenye 1NZ (1500cc) wanapata hadi 10km kwa lita kwa town trips na foleni zake.
Bei yake inasimamia ngapi, kiongozi?Basi, Toyota Voltz
Itakufaa zaidi. Maana ina uvumilivu wa hali ya juu sana.
Karibu uiagize kupitia Semsella Enterprises kutokea be forward uweze kupata nafasi ya kuilipia kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi saba.
Karibu sana
BP kwa sasa ni puma stationsLibaba OPAL siyo mchezo, inachagua vituo vya mafuta (wewe utakuwa na undugu wa karibu na BP tu). kuhusu spare sijajua sana ila nilishawahi kusikia watu wanasema eti vifaa vyake ni aghali.
Subiri watu wengine wachangie pia. yangu ni hayo tu
Kwani hutumii tubeless tyres?mi natumia OPA kwa miaka miwili na wiki 2 sasa, haijanisumbua hata kidogo, zaidi ya kupata pancha tu.
Mie yangu ni 1ZZ1794cc na sio 1ZZ1790cc.Hi wapendwa wa JF naomba kama kunamtu anauzoefu wa engine za toyota premio yaan
1ZZ 1790cc
1NZ 1490cc ni ipi ni mashine nzuri?
Chukua Dualis J10 2017-2018 HutojutaWapendwa wana JF, kwa gari aina ya Nissan Xtrail ipi ni nzuri
Pamoja na hiyo, lakini mimi nilitaka X-trail tuChukua Dualis J10 2017-2018 Hutojuta
Chukua hiyo hiyo SUZUKI ESCUDOWana JF habari za kazi. Gari aina ya Suzuki escudo ni nzuri? au ni aina gani ya Suzuki inafaa.
Yenyewe hiyoWana JF habari za kazi. Gari aina ya Suzuki escudo ni nzuri? au ni aina gani ya Suzuki inafaa.
Mkuu ulifanyajeWakuu nimeagiza gari, but nahisi hela ya clearance na ushuru nitachelewa kulipa almost mwezi mzima tangu gari itakapowasili. Naombeni kufahamishwa ni nn kibaya hapo kitanikuta?
Nilipewa mbinu flan hvi na nimefanikiwa kulipia baada ya kupata pesa... Bila kwere kabisa
Nani anisaidie hapa
Gari kama Volkswagen toureg cc 3000 fuel type diesel kwa lita moja inaenda kilometer ngapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hopefully ulifanikiwa kufanya manunuzi yakoWakuu naomba kuuliza kabla sijafanya maamuzi yakununua gari aina ya Toyota town ace pickup kati ya diesel engine na petrol engine ipi itakuwa naubora naombeni ushauri viongozi