Ushauri: Ununuaji wa magari

Ni lazima iwe na insurance. Stika ya wiki ya nenda kwa usalama inapatikana kwa vehicle mkaguzi wa vyombo vya moto. Uwe na kadi copy ama og ya gari kama copy iwe na muhuli wa tra pia uwe na leseni halali na hai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji kujua bei ya IST new model ya 2007 Inauzwaje kwa Dar. Sio kwa mtu.
As i wrte, ni 16.8m (DUTY & VAT INCL)

Unaweza kuagiza kwa malipo ya awamu-awamu ya hadi miezi 7 kupitia Semsella Enterprises, kutokea kampuni yeyote uipendayo, such as be forward, enhance etc.

Yaani 12.6m gari ikifika unakabidhiwa , 4.2m unaimalizia kwa installment ya hadi miezi saba

Kila mwezi 600,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Libaba OPAL siyo mchezo, inachagua vituo vya mafuta (wewe utakuwa na undugu wa karibu na BP tu). kuhusu spare sijajua sana ila nilishawahi kusikia watu wanasema eti vifaa vyake ni aghali.

Subiri watu wengine wachangie pia. yangu ni hayo tu
Sio opal amesema toyota opa mbona ni gari ya kawaida tu aina shida sana kama unaichukua kutoka Japan
 
BP imekufa, hapa Tanzania haipo,zimebaki rangi za BP ndugu yangu. Sasa hivi mafuta ni chakachua kwa kwenda mbele.
BP si ndo imebadilishwa jina na kuwa Puma nadhni sasa inaitwa Puma maana mpaka kwenye visima vyake kule bandai vimeandikwa Puma
 
Naombeni ushauri ndugu zangu, katika hizi nne ipi bora na itafaa kwa sisi wagangaji wa njaa. Ningependa pia kama mtanieleza uzuri na ubaya wa kila gari hapo.

Nawasilisha

PhotoGrid_1555166690829.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
jangala, Kabla ya kukushauri, labda ungeweka wazi machache ilituweze kupata picha halisi itakayowawezesha na wachangiaji wengine kushauri.

1.Ukubwa wa familia/idadi ya watu unao takiwa kuwa unapakiza mara kwa mara
2. Wingi wa mizunguko yako
3. Hali ya barabara unayoitumia kwa kiwango kikubwa (mara kwa mara)

Ukiweza kujibu hata, atleast itasaidia na wengine kutoa mchango wao wa ushauri.

Ahsante
 
Kabla ya kukushauri, labda ungeweka wazi machache ilituweze kupata picha halisi itakayowawezesha na wachangiaji wengine kushauri.

1.Ukubwa wa familia/idadi ya watu unao takiwa kuwa unapakiza mara kwa mara
2. Wingi wa mizunguko yako
3. Hali ya barabara unayoitumia kwa kiwango kikubwa (mara kwa mara)

Ukiweza kujibu hata, atleast itasaidia na wengine kutoa mchango wao wa ushauri.

Ahsante
Familia yangu ni watu watano, (mke na watoto watatu) mizunguko yangu ni kawaida kabisa (kazini, outing, kanisani, kwenda mkoani kipindi cha likizo eg Dar Songea, kuhusu barabara niko nje ya mji ambako Barabara sio smooth kihivyo
 
Wataalamu wa mambo mwenye experience na HONDA CR V kabla sijanunua anipe dondoo..
 
Familia yangu ni watu watano, (mke na watoto watatu) mizunguko yangu ni kawaida kabisa (kazini, outing, kanisani, kwenda mkoani kipindi cha likizo eg Dar Songea, kuhusu Barabara. Niko nje ya mji ambako Barabara sio smooth kiivo
Basi, Toyota Voltz Itakufaa zaidi. Maana ina uvumilivu wa hali ya juu sana. Karibu uiagize kupitia Semsella Enterprises kutokea be forward uweze kupata nafasi ya kuilipia kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi saba.

Karibu sana
 
Back
Top Bottom