USHAURI: Ununuaji wa magari...

P

Political Engineer2

Senior Member
Joined
Feb 23, 2018
Messages
154
Points
250
P

Political Engineer2

Senior Member
Joined Feb 23, 2018
154 250
Naomba kuuliza,kwa IST old model katika hali ya kawaida inakunywa mafuta kiasi gani per km? Maana naona kama yangu inazidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Malila

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2007
Messages
4,529
Points
2,000
M

Malila

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2007
4,529 2,000
Bp si ndo imebadilishwa jina na kuwa puma nazani sasa inaitwa puma maana mpaka kwenye visima vyake kule bandar vimeandkwa puma
Puma ilikuwepo wakati Bp ikifanya bz hapa Bongo kama Oryx ilivyokuja kuinunua Agip.
 
jangala

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Messages
1,354
Points
2,000
jangala

jangala

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2014
1,354 2,000
Naombeni Ushauri ndugu zangu, ktk hizi nne ipi Bora na itafaa kwa Sisi wagangaji wa njaa... Ningependa pia kama mtanieleza uzuri na ubaya wa kila gari hapo.. Nawasilisha
photogrid_1555166690829-jpeg.1070599

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAGARI7

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
2,426
Points
2,000
MAGARI7

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2016
2,426 2,000
Naombeni Ushauri ndugu zangu, ktk hizi nne ipi Bora na itafaa kwa Sisi wagangaji wa njaa... Ningependa pia kama mtanieleza uzuri na ubaya wa kila gari hapo.. Nawasilisha View attachment 1070599

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kukushauri, labda ungeweka wazi machache ilituweze kupata picha halisi itakayowawezesha na wachangiaji wengine kushauri.

1.Ukubwa wa familia/idadi ya watu unao takiwa kuwa unapakiza mara kwa mara
2. Wingi wa mizunguko yako
3. Hali ya barabara unayoitumia kwa kiwango kikubwa (mara kwa mara)

Ukiweza kujibu hata, atleast itasaidia na wengine kutoa mchango wao wa ushauri.

Ahsante
 
jangala

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Messages
1,354
Points
2,000
jangala

jangala

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2014
1,354 2,000
Kabla ya kukushauri, labda ungeweka wazi machache ilituweze kupata picha halisi itakayowawezesha na wachangiaji wengine kushauri.

1.Ukubwa wa familia/idadi ya watu unao takiwa kuwa unapakiza mara kwa mara
2. Wingi wa mizunguko yako
3. Hali ya barabara unayoitumia kwa kiwango kikubwa (mara kwa mara)

Ukiweza kujibu hata, atleast itasaidia na wengine kutoa mchango wao wa ushauri.

Ahsante
Familia yangu ni watu watano, (mke na watoto watatu) mizunguko yangu ni kawaida kabisa (kazini, outing, kanisani, kwenda mkoani kipindi cha likizo eg Dar Songea...kuhusu Barabara... Niko nje ya mji ambako Barabara sio smooth kiivo
 
AK48

AK48

Senior Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
140
Points
195
AK48

AK48

Senior Member
Joined Mar 22, 2015
140 195
Wataalamu wa mambo mwenye experience na HONDA CR V kabla sijanunua anipe dondoo..
 
MAGARI7

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
2,426
Points
2,000
MAGARI7

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2016
2,426 2,000
Familia yangu ni watu watano, (mke na watoto watatu) mizunguko yangu ni kawaida kabisa (kazini, outing, kanisani, kwenda mkoani kipindi cha likizo eg Dar Songea...kuhusu Barabara... Niko nje ya mji ambako Barabara sio smooth kiivo
Baso, Toyota Voltz
Itakufaa zaidi ...

Maana ina uvumilivu wa hali ya juu sana.
Karibu uiagize kupitia Semsella Enterprises kutokea be forward uweze kupata nafasi ya kuilipia kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi saba.

Karibu sana
 
Forum statistics

Threads 1,296,166
Members 498,559
Posts 31,237,045
Top